Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wapendwa Mpoooo?
Sory mambo ya ESCROW yanatu keep busy sana...hope leo yataisha then tutajumuika wote hapa kwa KING Ally Kiba!

Umepotea sana,looh
Mimi pia nataka nihamie huko ila sasa hivi naona ni mambo ya maji na uvuvi,Escrow ikianza tu natia timu na mimi
 
Atoto nipoooo!!ni hizi shughuli za hapa na pale na mambo ya escrow!!Ila hapa ni mahali pa kutolea machungu ya mambo maovu yanayofanywa na hawa wana siasa wetu pamoja na viongozi wa nchi!!
 
Binafsi namkubali sana Ali k. Tatizo n kwamba anakaa muda mrefu baada ya kutoa wimbo. Kila baada ya miezi mitatu atoe wimbo mpya

Yani katika hili swala Kiba anatukwaza wengi sana!!anafanya mziki kama hobby!!Akat sisi tunajitoa ufaham kwa ajili yake,alisema amerudi kukalia kiti naona anataka kusinzia sasa!!aaarghhh!!
 
Umepotea sana,looh
Mimi pia nataka nihamie huko ila sasa hivi naona ni mambo ya maji na uvuvi,Escrow ikianza tu natia timu na mimi

Amepotea sana kwa kwelii!!Ila I'd ya mpendwa wangu iyo initial yake inaniumiza roho!!
 
Binafsi namkubali sana Ali k. Tatizo n kwamba anakaa muda mrefu baada ya kutoa wimbo. Kila baada ya miezi mitatu atoe wimbo mpya

Ni kweli,tuzidi kupaza kelele ataelewa tu!Kipaji chake kinampa kiburi,chezea....
 
Hahahaaaa,dah yaani Le Mutuz atatuua jamani nachekaje sasa!
Haya leo naungana na Matola siasani

Huyu shemeji anaharibu lugha zetu kwa kwelii!!looh!!Hivi shemeji naye ntafurahi siku nkimwona hapa atoe le tamkozz juu ya mahaba yake kwa King wetu jamane!!
 
Last edited by a moderator:
watu makini sana wa humu

Wapi Geniveros!!mlinzi wa zamu nimeingia kazin ingawa naona baraza lote limehamia siasani...jamani huko siasani mkiona joto hasira limezidi mrudi mtanikuta hapa!!Tundu Lissu anaongea mambo mazitooo
 
Jamani Matola mbona sielewi?hiyo ripoti ya PAC mbona haijasomwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom