Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za asubuhi wapendwa.
Wapendwa Mpoooo?
Sory mambo ya ESCROW yanatu keep busy sana...hope leo yataisha then tutajumuika wote hapa kwa KING Ally Kiba!
Umepotea sana,looh
Mimi pia nataka nihamie huko ila sasa hivi naona ni mambo ya maji na uvuvi,Escrow ikianza tu natia timu na mimi
Binafsi namkubali sana Ali k. Tatizo n kwamba anakaa muda mrefu baada ya kutoa wimbo. Kila baada ya miezi mitatu atoe wimbo mpya

Hahahaaaa,dah yaani Le Mutuz atatuua jamani nachekaje sasa!
Haya leo naungana na Matola siasani
Ni kweli,tuzidi kupaza kelele ataelewa tu!Kipaji chake kinampa kiburi,chezea....
watu makini sana wa humu
ulipotelea wapi jamani? familia inakumiss
Miss youuu!!uwiiiHa ha ha ha uwiiii kweli wanaisoma kimya kimya ngumu kumesa kama klorokwini
Wewe Diva Beyonce siku hizi babu chinga kakukataza usije huku nini?
Ha ha hapana shosti ni ubusy tu babu chinga hana jipya
Jamani Matola mbona sielewi?hiyo ripoti ya PAC mbona haijasomwa?
Amepotea sana kwa kwelii!!Ila I'd ya mpendwa wangu iyo initial yake inaniumiza roho!!