Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeniiga
Asante, mimi nampendekeza Matola kwa wakiume na wa kike nifah na atoto, ila dah ni kazi ngumu kuchagua coz watu wanapiga mzigo humu balaa, hadi kuacha kuwataja najishtukia, yaani wadada karibu wote wakiingia humu lazima waache alama.
Na wa kiume nao acha kabisa, ndio maana huu uzi una view nyingi sana utadhani wa Siasa, kwa maana watu wanakuja humu kutusoma tu, kisha wanaondoka kimya kimya kwa aibu, yaani mkiniacha huru mimi nitasema wote wanastahili kutwaa tuzo hii.
Ova
Kweli,naona muda unayoyoma karibia tutahamia siasani...
Wakati Mwana inaanza harakati za kurekodiwa, ilipangwa Fally Ipupa ashirikishwe ili apige verse moja na Kiba apige mbili. Hivyo akasikilizishwa beat na kupewa maudhui ya wimbo wenyewe, mwisho wakakubaliana kwamba Kiba aimbe sehemu yake kisha Fally angekuja kumalizia kutokana na ratiba yake.
Sasa baada ya Kiba kuingiza vocal kwenye sehemu yake ikaonekana kwamba wimbo umesimama sana bila hata Fally Ipupa kuingiza vocal, kwa hiyo ikaonekana kwamba kulazimisha Fally aingize inaweza kuharibu wimbo endapo itatokea bahati mbaya.
Hivyo, Kiba akaamua kufuta mpango wa Fally kuingiza vocal kwenye Mwana na badala yake akatayarisha wimbo mwingine na kumjulisha Fally Ipupa ambaye bila kinyongo akakubali, na moja kwa moja wakashirikiana kwenye wimbo mwingine ambao tayari umesharekodiwa na umetoka mkali ile kinoma.
Ukiisikiliza Mwana ikifika kwenye dakika 2 na sekunde kama 16 hivi, utaona kama kulikuwa na mtu anasubiriwa aingize, drums zinagongwa kwa pamoja na kinanda, kisha Kiba akamtaja Man Water, ambaye akaingiza ile vocal nzito nzito hivi ya 'Umeleta Lawama', sasa sehemu hiyo alikuwa anakaa mtu mzima Fally.
Kwa hiyo huo wimbo ni mwingine kabisa, wala sio Remix ya Mwana, ni wimbo mzuri sana. Fally katenda haki na Kiba ndio usiseme. Beat ni ya Man Water kama kawaida.
Ova
View attachment 206119
Watu kwa kulazimisha kiki. Anajaza watu ujinga wakiamini anadate naye, sasa mwenyewe huyu hapa amekana. Yaani muziki tu ndio utupeleke huku kwenye uzushi na uongo? Hii haiko sawa bwana kuna umuhimu wa kulinda heshima zetu na wengine, imba muziki mzuri watu wataupenda tu, sio lazima ujitangaze kuwa wewe ni malaya.
Ova
lini inaingia sokoni hyo nyimbo?!
ova
Asante, mimi nampendekeza Matola kwa wakiume na wa kike nifah na atoto, ila dah ni kazi ngumu kuchagua coz watu wanapiga mzigo humu balaa, hadi kuacha kuwataja najishtukia, yaani wadada karibu wote wakiingia humu lazima waache alama.
Na wa kiume nao acha kabisa, ndio maana huu uzi una view nyingi sana utadhani wa Siasa, kwa maana watu wanakuja humu kutusoma tu, kisha wanaondoka kimya kimya kwa aibu, yaani mkiniacha huru mimi nitasema wote wanastahili kutwaa tuzo hii.
Ova
utatukanwa bureee