Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani Matola yuko wapi?au jana kazima nini?hahahaaaa

Mpendwa we acha tu, jana nilikuwa kwenye show somewhere nimerudi home alfajiri na nikazimika na nimechelewa kuamka, uzuri nimejiari leo nimejipa off sitoki home.

Tupo pamoja mpendwa.
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa we acha tu, jana nilikuwa kwenye show somewhere nimerudi home alfajiri na nikazimika na nimechelewa kuamka, uzuri nimejiari leo nimejipa off sitoki home.

Tupo pamoja mpendwa.

Kumbe ndio maana sijakuona siasani asubuhi?haya tukutane jioni
 
oneni vichwa vinawauma, washalala wanajipoza na maji, na kiba wala muda hana ashawakanya anasikiliza na kutoa mamelody, unalalama nini weweee kusema sn mtakuwa chizi, huu mziki yeye ndio mjuzi, kila mtu anamtaja Aliiii.........(kiba we kiba weee, nishirikishe tutoe hii rmx) wapi nifah na ladatho

Itakuwa hatareeeeeeeeeee hiyo
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa we acha tu, jana nilikuwa kwenye show somewhere nimerudi home alfajiri na nikazimika na nimechelewa kuamka, uzuri nimejiari leo nimejipa off sitoki home.

Tupo pamoja mpendwa.

mmmmh!!!
 
Jamani jana jirani yangu kanifurahishaje?ripoti ya PAC ilivyoisha tanesco wakakata umeme...acha afungulie mwana kwa sauti ya juu hatariiii,sijui alikua anatumia nini yeye...uwiiii nikaserebuka balaa nikawakumbuka family yetu hapa sana
 
Ni pressure tupu bora kutokujua kabisa duuuu mi najuta hata kufatilia puliiiiiiiz ESCROW BRING BACK OUR MONEY

yaani natamani hata nicngejua kinachoendelea maana nimeishia kuumia tu
 
Unashangaa nini?nilikuambia mimi...au kwa sababu hakukualika nini?
Uwiiiii

we c ulinikatilia cku ile nilivyoalikwa kula icecream(nilipewa lifti nikataka kupiga na honi)
 
we c ulinikatilia cku ile nilivyoalikwa kula icecream(nilipewa lifti nikataka kupiga na honi)

Jamani nilikukatalia kivipi?offer upewe wewe mimi nikatae?c'mon atoto
 
Last edited by a moderator:
Jamani jana jirani yangu kanifurahishaje?ripoti ya PAC ilivyoisha tanesco wakakata umeme...acha afungulie mwana kwa sauti ya juu hatariiii,sijui alikua anatumia nini yeye...uwiiii nikaserebuka balaa nikawakumbuka family yetu hapa sana

we mwana wewe mwana mwana jeuri sana....., kuna huyo baba ni jirani yangu yaani kila cku asubuhi lazima alige mwana, yaani ndio km breakfast yake, basi ananifurahishaga
 
we mwana wewe mwana mwana jeuri sana....., kuna huyo baba ni jirani yangu yaani kila cku asubuhi lazima alige mwana, yaani ndio km breakfast yake, basi ananifurahishaga

Uwiiiii,basi hiyo nyumba walikua wanashangilia balaaa...kidogo niwafuate...hahahaaa
Ali Kiba katisha sana kwenye mwana jamani
 
Nimekumbuka kitu,kuna comment nimeona Mdakuzi kasema Kiba hajamshirikisha Fally Ipupa kwenye remix ya mwana...please nieleweshe vizuri sijaelewa hapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom