Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Tupo pembeni hapa ya TV tukisubiri mjadala wa escrow.....mmh kazi kweli kweli moja haikai mbili ndo usiseme!
mie naumia cpo home n nilipo cant watch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pembeni hapa ya TV tukisubiri mjadala wa escrow.....mmh kazi kweli kweli moja haikai mbili ndo usiseme!
Thnx nshakaribia niliwamiss sana wanafamilia
Hellow kiba family I miss u hope mko poa japo escrow inawachanganya
Usijali tune TBC taifa radio wako laivu....mie naumia cpo home n nilipo cant watch
Hongera kamanda nakuona kwenye issue ya escrow umekomaa ile mbaya.....Vp hakuna ratiba ya show za KING utujuze??Njema mkuu.
Ova
Usijali tune TBC taifa radio wako laivu....
Hongera kamanda nakuona kwenye issue ya escrow umekomaa ile mbaya.....Vp hakuna ratiba ya show za KING utujuze??
Alfajiri kumekucha,nasikiliza karim hapa,da!!hatari sana,another day,another dollar!!Siku njema guys...
Hahahahahaaa! Tunaipigania nchi yetu ili tuikomboe kwa mafisadi wachache wanaojimilikisha.
Bado sijapata taarifa ya show yoyote ya King, nikipata ntaimwaga hapa. Jamani naenda kusikiliza Bunge online. Natoweka hapa kwa muda.
Ova
Mie nawamiss kila dakika ninayokuwa offline. Licha ya kuwa tunapishana muda wa kuingia ila nawasoma......familia ya Kiba mnanifurahisha saaana, yaani bila kutia timu humu siku yangu haijakamilika!
Soon nami nitakuwa available sasa full time ili tujumuike sote.
Refer to your statement,"ukiona kimya ujue hana mashairi" heheheeeiiiyaaaaa!!!
Hivi hapo uliandika ukiwa serious au ulijisikia tu nawe ucomment vile ulikuwa unakimbizana na muda wa bando lisije likaisha bure?
Rudi kaulize nyimbo ya mwana Kiba kaitunga/kaiandaa lini na mashairi yake amekaa nayo kwa muda gani mpaka kuja kuitoa.
Au kama unaogopa kuambiwa umeisaliti kambi basi mfuate Daina Nyange umuulize ile nyimbo aloibiwa na baba ubaya alikuwa na muda gani tangu aiandae mpaka baba ubaya alipokuja kuiiba.
Note better: Ukiona Mfalme yupo kimya ujue hajaamua.....fullstop!!!
mie naumia cpo home n nilipo cant watch
Kwani uko wapi mumy?ni shimo gani hilo ambalo huwezi kuona TV hata kusikiliza redio?hahahaaa
Au kazini nini?
Mimi sitaki tena siasa zinachosha sana....uwiiiiii yaani jana nimeumiza akili sana,sitaki mimi nawaachia nyie wataalam
kazi imenibanaaa, na nimeona huku siasani nikachafukwa tu, bora hata cjaangalia