Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refer to your statement,"ukiona kimya ujue hana mashairi" heheheeeiiiyaaaaa!!!
Hivi hapo uliandika ukiwa serious au ulijisikia tu nawe ucomment vile ulikuwa unakimbizana na muda wa bando lisije likaisha bure?
Rudi kaulize nyimbo ya mwana Kiba kaitunga/kaiandaa lini na mashairi yake amekaa nayo kwa muda gani mpaka kuja kuitoa.
Au kama unaogopa kuambiwa umeisaliti kambi basi mfuate Daina Nyange umuulize ile nyimbo aloibiwa na baba ubaya alikuwa na muda gani tangu aiandae mpaka baba ubaya alipokuja kuiiba.
Note better: Ukiona Mfalme yupo kimya ujue hajaamua.....fullstop!!!
hahaa Avemaria nitake radhi nikimbizane na muda wa bando nimekuwa mwanafunzi wa seco au? najiunga ya mwezi mzima lol so wasiwasi wa kuishiwa bando tupa kule
sawa mi ninaweza kukubaliana na wewe mfalme alikuwa hajaamua je mashabiki wangapi nchi zima wanaamini hivyo? think outside the box ave
sina kambi yoyote wasanii wote wawili nawakubali hata kule na comment the way i like na sio kumfurahisha mtu
Alfajiri kumekucha,nasikiliza karim hapa,da!!hatari sana,another day,another dollar!!Siku njema guys...
Uzuri ni kwamba muziki ni jambo la hadharani ambalo kila mtu analiona na kulisikia. Katika biashara ya muziki kuna kitu kimoja kinaitwa uhai wa muziki wako ulio sokoni.
Wanamuziki wengi waliofanikiwa hutumia kanuni hii. Kwa King Kiba kanuni hii humfanya atoke baada ya muda mrefu tofauti na wanamuziki wengine wa Bongo.
Mara nyingi Kiba hutoa nyimbo ambazo huwa ni chaguo la mashabiki kwa muda mrefu, kwa maana ya muziki kuwa hai sokoni kwa muda mrefu.
Tukitolea mfano wimbo wa Mwana, ulitoka audio mwezi July, lakini mpaka October bado mashabiki walikuwa wakivutiwa nao, kwani kwenye tamasha kubwa la muziki Bongo la Fiesta ndio wimbo ulioshangiliwa zaidi.
Sasa katika hali hiyo kukandamiza wimbo mwingine kwa haraka haraka ni kukupoteza uliopo au kuwachanganya mashabiki wako, kitu ambacho sio kizuri katika biashara ya muziki.
Ndio maana wanamuziki kama Jay Z, R Kelly, Koffi Olomide na wanamuziki wengine wenye tungo makini huwezi kuona wakitoa nyimbo nyingi ndani ya kipindi kifupi.
Nassib alikuwa na haki ya kutoa wimbo Mpya haraka kwa sababu nyimbo zake mbili za mwisho zilipotea haraka, alizitoa July kwa mpigo lakini October akazomewa kwenye Fiesta, kwa maana ya kutokonga nyoyo za mashabiki.
Ova
yaaani nyimbo za kiba zinadumu sana, mwana ninavyoupenda km ndio nimeuckiliza leo kwa mara ya kwanza, so akitoa mwingine haraka wakat mwana inafanya vzr sio isue kabisaaa, nazidi kuona logic yake ya kuchelewesha video, lkn ukiwa na akili za papara utaona km kaishiwa hv, ila he knows wht he is doing, mi ukimya wake wa kujiweka kando na midia ndio unanichosha, atafute pr jamani
Kiba ana uelewa mkubwa wa muziki na namna ya kufanya biashara ya muziki. Ndio maana huu wimbo wa Mwana ambao awali alipanga kumshirikisha Fally Ipupa aliamua kumtoa kwa sababu wimbo ulishakuwa mzuri bila Fally, na badala yake akatengeneza wimbo mwingine akaimba naye, ambao nao ni mkali kinoma.
Ova
nawe pia siku njema sie wenye vichanga
wengine tunalea nyie wakazini kazi njema Mungu awabariki
Jamani Ally nawewe,twatamani kusikia izo tungo zako plz chonde ziachie jamani...n
Jamani Ally nawewe,twatamani kusikia izo tungo zako plz chonde ziachie jamani...n
mvumilivu hula mbivu, subiri afanye yake ili akija usijute kumchagua, hakurupukagi dogo, anaupa mwana na kimasomaso muda maana bado unatamba kwenye top5 za bongo
Habari ya asubuhi wapendwa!
Hellow kiba family I miss u hope mko poa japo escrow inawachanganya
Tupo pembeni hapa ya TV tukisubiri mjadala wa escrow.....mmh kazi kweli kweli moja haikai mbili ndo usiseme!njema mpendwa, hope yo hv a gud morn
am gud dear, wellcome again
njema mpendwa, hope yo hv a gud morn
am gud dear, wellcome again
Mwana still no 1 mawingu fm
Ally Kiba anatoa ngoma zinazodumu kwa mda mrefu....huo ndo utofauti wake na hao wengine ambao mziki wao ni kama big G!mvumilivu hula mbivu, subiri afanye yake ili akija usijute kumchagua, hakurupukagi dogo, anaupa mwana na kimasomaso muda maana bado unatamba kwenye top5 za bongo
Vp mtani mafuriko yamekukumba!??Wapendwa leo naomba udhuru hapa jukwaani niko na wafia nchi tunajipongeza kwa kupiga mitungi hatimaye Umma umewashinda mafisadi leo majambazi wakubwa hawa.