Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani Matola yuko wapi?au jana kazima nini?hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mimi sitaki tena siasa zinachosha sana....uwiiiiii yaani jana nimeumiza akili sana,sitaki mimi nawaachia nyie wataalam

Hahahaa usituache peke yetu bwana. Twende pamoja mpaka kieleweke.
Ova
 
Ya nini nife kwa presha sababu ya hasira ilhali wengine wanakula mema ya nchi?

yaani hii nchi jamani Nyerere alituharibu sana, tupotupo tu na wala hatuitaji mabadiliko, km tumerogwa aisee
 
Hahaaaa chezea siasa wewe, atakuwa amevurugwa huko, maana aliaga kabisa kuwa anakwenda siasani

Umesahau jana usiku kaaga kua anapiga tungi na washkaji zake wanasherehekea ushindi wa kuwagaragaza mafisadi?
 
Tatizo wewe unaangalia tuu wala huungani na sisi kule kwenye comments,au unaogopa utapoteza concentration nini?

Nikiwa nafuatilia huwa napenda kutulia na kukusanya point zangu.
Ova
 
Uwiiiii nilisahau,hivi geniveros unadhani nimesahau uliwahi kusema msukuma wako ni muheshimiwa?haya vipi na yeye yupo nini?maana umepotea ghafla
 
Last edited by a moderator:
yaani hii nchi jamani Nyerere alituharibu sana, tupotupo tu na wala hatuitaji mabadiliko, km tumerogwa aisee

Wewe acha tu,kwa sasa siasa naiweka kando hadi niwe mtu mzima...I am too young for politics
 
Nikiwa nafuatilia huwa napenda kutulia na kukusahau point zangu.
Ova

Nadhani ulikua unamaanisha kukusanya points zako....
Leo nitajikaza jioni nione itakuwaje,hili sakata la escrow likiisha na mimi namalizana na siasa
 
Back
Top Bottom