Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Mhhh leo hapa kuna magazeti ya kufa mtu na hivi nimechoka siasani...mtanisamehe kwa sasa,may be later...
Nimekutaja tu, nawe unapost. Nilikuwa napitia comments sikukusoma humu.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh leo hapa kuna magazeti ya kufa mtu na hivi nimechoka siasani...mtanisamehe kwa sasa,may be later...
unamaanisha??
Namaanisha alikuwa busy na majukwaa ya siasa, ndio maana huku sikuona comments zake. Hahahaa
Ova
Wapendwa leo naomba udhuru hapa jukwaani niko na wafia nchi tunajipongeza kwa kupiga mitungi hatimaye Umma umewashinda mafisadi leo majambazi wakubwa hawa.
Jamani I miss my Avemaria so much!!!
hahahahaaaaaa....!!!
watu mna maneno hatarii
unadhani kwann watu wapatwe na jaka la moyo?? coz hata wao wanatambua kuwa kiba nomaaa, wasioelewa ligha ndio utaona wanatapatapa
Ha ha ha ha uwiiii kweli wanaisoma kimya kimya ngumu kumesa kama klorokwini
Tukimaliza moka tutaingia kwenye project ya kutengeneza condom maalum kwa ajili ya watoto wa Tandale!!then mawigi afu tutamalizia na plastic surgery za kupunguza ukubwa wa midomo kwa baadhi ya wasanii maana imekua aibu kula denda na wanawake kibao mpaka midomo imekua mikubwa kama mabakuli wanataka kumeza videvu vya watu wanatuletea aibu tuu!
hahaha nilijua hii inaweza kutokea thats why nikaweka nb hayo ni maoni yangu kila mtu ana yake wapi nimesema hana mashairi re read my comment again nimesema kwa kipindi flani flani kama msanii amekosa mashairi hawezi kukurupuka kwenda studio
Refer to your statement,"ukiona kimya ujue hana mashairi" heheheeeiiiyaaaaa!!!
Hivi hapo uliandika ukiwa serious au ulijisikia tu nawe ucomment vile ulikuwa unakimbizana na muda wa bando lisije likaisha bure?
Rudi kaulize nyimbo ya mwana Kiba kaitunga/kaiandaa lini na mashairi yake amekaa nayo kwa muda gani mpaka kuja kuitoa.
Au kama unaogopa kuambiwa umeisaliti kambi basi mfuate Daina Nyange umuulize ile nyimbo aloibiwa na baba ubaya alikuwa na muda gani tangu aiandae mpaka baba ubaya alipokuja kuiiba.
Note better: Ukiona Mfalme yupo kimya ujue hajaamua.....fullstop!!!
Una habari kwamba watu wananunua bando ili tu waje kuona huku kwa Kiba kunazungumzwa nini? Ndo dalili zenyewe hizo!
Na anawapa homa si kitoto.
Kitangoma msimu huu mbona wamelenga penyewe aisee, wenye chuki watasonya mpaka midomo iwapauke!
Alfajiri kumekucha,nasikiliza karim hapa,da!!hatari sana,another day,another dollar!!Siku njema guys...