Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mhhh leo hapa kuna magazeti ya kufa mtu na hivi nimechoka siasani...mtanisamehe kwa sasa,may be later...

Nimekutaja tu, nawe unapost. Nilikuwa napitia comments sikukusoma humu.
Ova
 
Wapendwa leo naomba udhuru hapa jukwaani niko na wafia nchi tunajipongeza kwa kupiga mitungi hatimaye Umma umewashinda mafisadi leo majambazi wakubwa hawa.
 
Wapendwa leo naomba udhuru hapa jukwaani niko na wafia nchi tunajipongeza kwa kupiga mitungi hatimaye Umma umewashinda mafisadi leo majambazi wakubwa hawa.

Kwa leo ni muhimu kujipongeza, kazi iliyofanyika ni kubwa sana.
Ova
 
Jamani I miss my Avemaria so much!!!

Mie nawamiss kila dakika ninayokuwa offline. Licha ya kuwa tunapishana muda wa kuingia ila nawasoma......familia ya Kiba mnanifurahisha saaana, yaani bila kutia timu humu siku yangu haijakamilika!

Soon nami nitakuwa available sasa full time ili tujumuike sote.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaaa....!!!
watu mna maneno hatarii

Una habari kwamba watu wananunua bando ili tu waje kuona huku kwa Kiba kunazungumzwa nini? Ndo dalili zenyewe hizo!

unadhani kwann watu wapatwe na jaka la moyo?? coz hata wao wanatambua kuwa kiba nomaaa, wasioelewa ligha ndio utaona wanatapatapa

Na anawapa homa si kitoto.
Kitangoma msimu huu mbona wamelenga penyewe aisee, wenye chuki watasonya mpaka midomo iwapauke!
 
Ha ha ha ha uwiiii kweli wanaisoma kimya kimya ngumu kumesa kama klorokwini

Hahah Kiba wa moto usipime!
Huko waliko wanazisoma alama za viganja mithili ya mganga wa kienyeji.

Kutafuna wanashindwa, kumeza pia ngumu wanaunguzwa koromeo na wakisema wateme ndo hivyo tena King mtamu maskini kawanonea!
Mweeeeeh nilikuwepo wapenzi!
 
Tukimaliza moka tutaingia kwenye project ya kutengeneza condom maalum kwa ajili ya watoto wa Tandale!!then mawigi afu tutamalizia na plastic surgery za kupunguza ukubwa wa midomo kwa baadhi ya wasanii maana imekua aibu kula denda na wanawake kibao mpaka midomo imekua mikubwa kama mabakuli wanataka kumeza videvu vya watu wanatuletea aibu tuu!

Ha ha ha uwiiii umeua best ujumbe murua message sent
 
hahaha nilijua hii inaweza kutokea thats why nikaweka nb hayo ni maoni yangu kila mtu ana yake wapi nimesema hana mashairi re read my comment again nimesema kwa kipindi flani flani kama msanii amekosa mashairi hawezi kukurupuka kwenda studio

Refer to your statement,"ukiona kimya ujue hana mashairi" heheheeeiiiyaaaaa!!!
Hivi hapo uliandika ukiwa serious au ulijisikia tu nawe ucomment vile ulikuwa unakimbizana na muda wa bando lisije likaisha bure?

Rudi kaulize nyimbo ya mwana Kiba kaitunga/kaiandaa lini na mashairi yake amekaa nayo kwa muda gani mpaka kuja kuitoa.
Au kama unaogopa kuambiwa umeisaliti kambi basi mfuate Daina Nyange umuulize ile nyimbo aloibiwa na baba ubaya alikuwa na muda gani tangu aiandae mpaka baba ubaya alipokuja kuiiba.

Note better: Ukiona Mfalme yupo kimya ujue hajaamua.....fullstop!!!
 
hahaa Avemaria nitake radhi nikimbizane na muda wa bando nimekuwa mwanafunzi wa seco au? najiunga ya mwezi mzima lol so wasiwasi wa kuishiwa bando tupa kule
sawa mi ninaweza kukubaliana na wewe mfalme alikuwa hajaamua je mashabiki wangapi nchi zima wanaamini hivyo? think outside the box ave
sina kambi yoyote wasanii wote wawili nawakubali hata kule na comment the way i like na sio kumfurahisha mtu
 
Last edited by a moderator:
Una habari kwamba watu wananunua bando ili tu waje kuona huku kwa Kiba kunazungumzwa nini? Ndo dalili zenyewe hizo!

Na anawapa homa si kitoto.
Kitangoma msimu huu mbona wamelenga penyewe aisee, wenye chuki watasonya mpaka midomo iwapauke!

kweli kabisa na watu wanaangalia nini kinaendelea
kitangoma ntannua nataka na tishert
 
Refer to your statement,"ukiona kimya ujue hana mashairi" heheheeeiiiyaaaaa!!!
Hivi hapo uliandika ukiwa serious au ulijisikia tu nawe ucomment vile ulikuwa unakimbizana na muda wa bando lisije likaisha bure?

Rudi kaulize nyimbo ya mwana Kiba kaitunga/kaiandaa lini na mashairi yake amekaa nayo kwa muda gani mpaka kuja kuitoa.
Au kama unaogopa kuambiwa umeisaliti kambi basi mfuate Daina Nyange umuulize ile nyimbo aloibiwa na baba ubaya alikuwa na muda gani tangu aiandae mpaka baba ubaya alipokuja kuiiba.

Note better: Ukiona Mfalme yupo kimya ujue hajaamua.....fullstop!!!

Hapa umetoa elimu kubwa sana kwa wasiojua muziki na wasiojua madini yaliyopo kwenye kichwa cha Kiba. Akiwa kimya huwa hajaamua tu, King ana nyimbo kibao kali kwenye akiba yake ambazo anaweza kutoa kila mwezi na zishiishe hata kwa miaka miwili.
Ova
 
Back
Top Bottom