Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hongera kamanda nakuona kwenye issue ya escrow umekomaa ile mbaya.....Vp hakuna ratiba ya show za KING utujuze??

Hahahahahaaa! Tunaipigania nchi yetu ili tuikomboe kwa mafisadi wachache wanaojimilikisha.
Bado sijapata taarifa ya show yoyote ya King, nikipata ntaimwaga hapa. Jamani naenda kusikiliza Bunge online. Natoweka hapa kwa muda.
Ova
 
Hahahahahaaa! Tunaipigania nchi yetu ili tuikomboe kwa mafisadi wachache wanaojimilikisha.
Bado sijapata taarifa ya show yoyote ya King, nikipata ntaimwaga hapa. Jamani naenda kusikiliza Bunge online. Natoweka hapa kwa muda.
Ova

Mimi sitaki tena siasa zinachosha sana....uwiiiiii yaani jana nimeumiza akili sana,sitaki mimi nawaachia nyie wataalam
 
Kwanza siasani leo hakueleweki mulongo anaongea vitu ambavyo sivielewi,bora jana nimemuelewa Zitto kidoogo na Deo mwishoni....
 
Mie nawamiss kila dakika ninayokuwa offline. Licha ya kuwa tunapishana muda wa kuingia ila nawasoma......familia ya Kiba mnanifurahisha saaana, yaani bila kutia timu humu siku yangu haijakamilika!

Soon nami nitakuwa available sasa full time ili tujumuike sote.

Mimi pia nakumiss sana,una akili wewe?hua nafurahi unavyokuja kupigilia misumari ya mwisho kwa haters wanaovamia humu
 
Refer to your statement,"ukiona kimya ujue hana mashairi" heheheeeiiiyaaaaa!!!
Hivi hapo uliandika ukiwa serious au ulijisikia tu nawe ucomment vile ulikuwa unakimbizana na muda wa bando lisije likaisha bure?

Rudi kaulize nyimbo ya mwana Kiba kaitunga/kaiandaa lini na mashairi yake amekaa nayo kwa muda gani mpaka kuja kuitoa.
Au kama unaogopa kuambiwa umeisaliti kambi basi mfuate Daina Nyange umuulize ile nyimbo aloibiwa na baba ubaya alikuwa na muda gani tangu aiandae mpaka baba ubaya alipokuja kuiiba.

Note better: Ukiona Mfalme yupo kimya ujue hajaamua.....fullstop!!!

That's my girl Ave....awwww penda sana wewe
 
oneni vichwa vinawauma, washalala wanajipoza na maji, na kiba wala muda hana ashawakanya anasikiliza na kutoa mamelody, unalalama nini weweee kusema sn mtakuwa chizi, huu mziki yeye ndio mjuzi, kila mtu anamtaja Aliiii.........(kiba we kiba weee, nishirikishe tutoe hii rmx) wapi nifah na ladatho

I am here my atoto...jamani jana nimechoka balaa,siasa mbaya sana....sitaki tena
 
Last edited by a moderator:
Kwani uko wapi mumy?ni shimo gani hilo ambalo huwezi kuona TV hata kusikiliza redio?hahahaaa
Au kazini nini?

kazi imenibanaaa, na nimeona huku siasani nikachafukwa tu, bora hata cjaangalia
 
Mimi sitaki tena siasa zinachosha sana....uwiiiiii yaani jana nimeumiza akili sana,sitaki mimi nawaachia nyie wataalam

hahaaaa!!! hayo yana wenyewe mama, rudi tujisahaulishe machungu huku
 
Back
Top Bottom