Ali Kiba Fans' Special Thread...

nifah na @ Ms.Lincoln
wa kiume Mdakuzi ndio namkumbuka wengine cna hakika km ni me

Asante, mimi nampendekeza Matola kwa wakiume na wa kike nifah na atoto, ila dah ni kazi ngumu kuchagua coz watu wanapiga mzigo humu balaa, hadi kuacha kuwataja najishtukia, yaani wadada karibu wote wakiingia humu lazima waache alama.
Na wa kiume nao acha kabisa, ndio maana huu uzi una view nyingi sana utadhani wa Siasa, kwa maana watu wanakuja humu kutusoma tu, kisha wanaondoka kimya kimya kwa aibu, yaani mkiniacha huru mimi nitasema wote wanastahili kutwaa tuzo hii.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Hivi bukuSabaFc jana imekuwaje na kanjibhai wake?hahahaaaa ndio huyo Seth nini?
 
Last edited by a moderator:

Kweli kabisa,arrgh ndio maana sijamtaja geniveros sio kwa sababu hajashiriki laah..
Ni kwa sababu alishashinda sasa natamani wengine pia wawe washindi hadi sote humu tuwe washindi...
 
Last edited by a moderator:

lini inaingia sokoni hyo nyimbo?!
ova
 

utatukanwa bureee
 

wewe mwenyewe na matola
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…