Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mimi pia nakumiss sana,una akili wewe?hua nafurahi unavyokuja kupigilia misumari ya mwisho kwa haters wanaovamia humu

Kwa Kiba mwenzangu baadhi ya watu watanichukia tu. Huwa natamani nijumuike na nyie bahati mbaya nakosa muda.
 
Ladha halisi isochakachulika wala kuchuja, music muruuuuaaaaaa usokuwa na makelele.

Ama kweli hapana chezea Kiba utapotea kama ndege ya Malaysia!!

hv kumpenda kiba ni dhambi? sasa mbona watu wanaumia sana!??
na bado
 
Back
Top Bottom