Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

.

Wananichekesha kweli.
Na wataumia sana na kama ni dhambi basi nitaomba niwe kuni ya kuunguzia wenzangu......kiroho safi tyuuuu!

mie ujue nawashangaa kinachowasonga mioyo nini wakati uzi ulianzishwa kwaajili ya mashabiki wa kiba ila wao wakaanza kuleta nyodo zao na viranga vyao(ama kweli kusoma kuelewa), wakafanya kila hila hapa haikutosha wakafungua uzi wao bado wakawa wanaumia na kumjadili kiba na fan wake, wakidata zaid wanajileta tena huku, sasa imekuwa kila uzi wanaofungua wanamuongelea kiba tuuu!!! ukiona mtu anakuongelea sana ujue kuna kitu umemzidi na kinamuumiza, Kiba is ours jamani kama hamumpendi kojoeni mlale, sie ndio tushamchagua sasa homa mwapata ya nini??? Kiba fanya kazi nzuri coz hata wao wanaujua moto wako
 
mi nashangaa ujue mi huko kwao ht mguu sitiii naona shida tu na sipendi makwazo
 
yaani bora huendi last tym lilikwenda wk ilopita, sasa jana kuna uzi mwingine ulifunguliwa nikasema ngoja niingie nione kinachojiri duuuh!! c nikakuta anajadiliwa kiba wakat uzi haumuhusu, nikaamini kweli kiba anawawewesesha watu
 
Yaani ni shida kiba ni km oxygen xo bila kumtaja utakufa watu wanajishaua tu uzi unamuhusu mtu mwingne bt utakuta jina la kiba na mashabiki wake wanajadiliwa kweli nmeamin kusoma kuelewa
 
yaani bora huendi last tym lilikwenda wk ilopita, sasa jana kuna uzi mwingine ulifunguliwa nikasema ngoja niingie nione kinachojiri duuuh!! c nikakuta anajadiliwa kiba wakat uzi haumuhusu, nikaamini kweli kiba anawawewesesha watu

wanawazimu hao
 
Uliitwa au ndo kiranga????? Pita hivi;>>>>>>>>>>>> nyie ndo wale mnaompigia makofi mc wa kwenye msiba soma alama za nyakati mfyuuuuuuuuuuuuuuy

bora umempa kubwa anahashuka km mbuzi mzee
 
Back
Top Bottom