Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.
Wananichekesha kweli.
Na wataumia sana na kama ni dhambi basi nitaomba niwe kuni ya kuunguzia wenzangu......kiroho safi tyuuuu!
Mlinzi wa zamu mzigoni...nyie mnalala mie naamka ni sawa na mbalamwezi tu!!
Ha ha ha!!mi naomba kuwa ukuni wa pili,...umenichekesha akyanani!!
Ama neneeeee waumize hao mama
Jamani mlale salama...anybody around!?
Mlinzi wa zamu mzigoni...nyie mnalala mie naamka ni sawa na mbalamwezi tu!!
.
Wananichekesha kweli.
Na wataumia sana na kama ni dhambi basi nitaomba niwe kuni ya kuunguzia wenzangu......kiroho safi tyuuuu!
Uzi unakimbia mpaka watu badala ya kufanya yao wanaujadil uzi huuhuhuhuu fanya yako yangu yaache(in layla rashid voice)
mie ujue nawashangaa kinachowasonga mioyo nini wakati uzi ulianzishwa kwaajili ya mashabiki wa kiba ila wao wakaanza kuleta nyodo zao na viranga vyao(ama kweli kusoma kuelewa), wakafanya kila hila hapa haikutosha wakafungua uzi wao bado wakawa wanaumia na kumjadili kiba na fan wake, wakidata zaid wanajileta tena huku, sasa imekuwa kila uzi wanaofungua wanamuongelea kiba tuuu!!! ukiona mtu anakuongelea sana ujue kuna kitu umemzidi na kinamuumiza, Kiba is ours jamani kama hamumpendi kojoeni mlale, sie ndio tushamchagua sasa homa mwapata ya nini??? Kiba fanya kazi nzuri coz hata wao wanaujua moto wako
mi nashangaa ujue mi huko kwao ht mguu sitiii naona shida tu na sipendi makwazo
habari za asubuhi wapendwa, may tha allmighty Lord grant you a very blessed and successfull day, love youuuuuuuuuuu
nimepotea njia <<<<<<
yaani bora huendi last tym lilikwenda wk ilopita, sasa jana kuna uzi mwingine ulifunguliwa nikasema ngoja niingie nione kinachojiri duuuh!! c nikakuta anajadiliwa kiba wakat uzi haumuhusu, nikaamini kweli kiba anawawewesesha watu

Uliitwa au ndo kiranga????? Pita hivi;>>>>>>>>>>>> nyie ndo wale mnaompigia makofi mc wa kwenye msiba soma alama za nyakati mfyuuuuuuuuuuuuuuy
nimepotea njia <<<<<<