Swadakta....sasa hao wanaokuja kutuchefua huku ndio wanataka kuiharibu nia haswa ya muanzilishi wa huu uzi
Ushauri mwingine aendeleze jadi yake ya ustaarabu na utulivu,asije akategemea sana scandal na mbunye kupata kick!!Hakuna kitu kibaya kama iki,yani Ally ana three kids na bado ana keep his profile low!Ila aache kunichefua kuvaa ovyo kama anaenda kupiga story kijiweni akat yupo stejini!ha,kama hawez kumuengage designer wifi naye achangamke jamani lol!Aige mazuri ya kulee,he should keep it proffessional!!
Yah huku ni home of intellectuals,kantangaze wako insta 😕 mshaurin ally k,atafte collabo ya hatari hta anaweza kumtumia r kelly kumsaidia kwani anamjua kupitia ile g20,then asicompete ila acreate trust me akifanya collabo na fally ipupa itasound poa sana tunahitaji collabo za kujiandaa sio kudandia wasanii studio
Nawakubali tu ,kwa kuandika magazeti tu hamna mpinzani.
Naona aliyeandika Uzi kaandika msg sio?
Astaqafirullah!!!!sijazoea matusi baba tena unikome kabisa...hii thread inakuhusu nini wewe???hapa ni maalum kwa fans wa Kiba tu usiniletee stress zako za kuzomewa...
Hatutaki matusi huku usijesababisha thread yetu ifungwe
Mpendwa achana na huyo mtu kavurugwa na kuzomewa!!Kachanganyikiwa na aibu!Nia yake uzi ufungwe!Tupo hapa kumjenga kiba achana na hao walolewa viroba!Yani mitusi yoote iyo kisa!!sisi wapole sana kama Ally K,na ndo ivo tupo kwa ajili yake,tupa kulee bhooooooouuu!
Kiulaiiiiini kabisa...hivi unaanzaje kumchukia Kiba jamani???akikuangalia na ile sura yake ya upole lazima uone aibu...
Watu wana roho ngumu jamani!!!!
mnaona sasa mnaopiga kelele humu ndani mmezama kwenye mahaba niteketeze na mtoto wa watu na mwaka huu mtambemenda mpaka adumae +++, me nafikiri mnampendea kazi kumbe mnampendea sur??? mwanaume kazi bwanaaa sura hata mbuzi anayo, na ndio maana kijana wa watu pamoja na kuwa na kipaji kikubwa pale juu hatoboi, kuna panya rodiz wanambemenda, mwambie aendelee kuuza sura mondi atauza kazi, na utambue heshima pesaaaa hayo mengine kelele kama za mbu wa dengue

Kazi hipo mwaka huu
Naona mtifuano umeamia hadi kwenye kupakua nyimbo ili kumsikiliza Alikiba!
Wimbo mpya MwanaFA feat Alikiba -kiboko yangu
Watu wamepakua hadi website imestuck! Tuna hitaji muwashabikie wasanii na mnunue kazi zao kama namna hii!
Anhaa bora umenifumbua wewe kumbe kuna watu wako ki mahaba zaidi ndio maana hawaelewi wala hawasikii kwa lolote.
Astaqafirullah!!!!sijazoea matusi baba tena unikome kabisa...hii thread inakuhusu nini wewe???hapa ni maalum kwa fans wa Kiba tu usiniletee stress zako za kuzomewa...
Hatutaki matusi huku usijesababisha thread yetu ifungwe
unauliza matusi uswahilini
Anataka thread ifungwe huyu
mpuuze