Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ushauri mwingine aendeleze jadi yake ya ustaarabu na utulivu,asije akategemea sana scandal na mbunye kupata kick!!Hakuna kitu kibaya kama iki,yani Ally ana three kids na bado ana keep his profile low!Ila aache kunichefua kuvaa ovyo kama anaenda kupiga story kijiweni akat yupo stejini!ha,kama hawez kumuengage designer wifi naye achangamke jamani lol!Aige mazuri ya kulee,he should keep it proffessional!!
 
Swadakta....sasa hao wanaokuja kutuchefua huku ndio wanataka kuiharibu nia haswa ya muanzilishi wa huu uzi

Yah huku ni home of intellectuals,kantangaze wako insta 😕 mshaurin ally k,atafte collabo ya hatari hta anaweza kumtumia r kelly kumsaidia kwani anamjua kupitia ile g20,then asicompete ila acreate trust me akifanya collabo na fally ipupa itasound poa sana tunahitaji collabo za kujiandaa sio kudandia wasanii studio
 
King alli kiba , safi sana maana masikio yalikuwa yamechoka na domo, kaka naunga mkono hoja kwa 100%, good ideal
 
Ushauri mwingine aendeleze jadi yake ya ustaarabu na utulivu,asije akategemea sana scandal na mbunye kupata kick!!Hakuna kitu kibaya kama iki,yani Ally ana three kids na bado ana keep his profile low!Ila aache kunichefua kuvaa ovyo kama anaenda kupiga story kijiweni akat yupo stejini!ha,kama hawez kumuengage designer wifi naye achangamke jamani lol!Aige mazuri ya kulee,he should keep it proffessional!!

Hilo nalo neno shoga angu....wakati mwingine hua naona hadi aibu kwa mavazi yake....na alivyo na mwili mzuri akivaa vizuri anapendezaje sasa???
 
Yah huku ni home of intellectuals,kantangaze wako insta 😕 mshaurin ally k,atafte collabo ya hatari hta anaweza kumtumia r kelly kumsaidia kwani anamjua kupitia ile g20,then asicompete ila acreate trust me akifanya collabo na fally ipupa itasound poa sana tunahitaji collabo za kujiandaa sio kudandia wasanii studio

Ni kweli kabisa...na aje tu asome haya maoni yetu
 
Astaqafirullah!!!!sijazoea matusi baba tena unikome kabisa...hii thread inakuhusu nini wewe???hapa ni maalum kwa fans wa Kiba tu usiniletee stress zako za kuzomewa...
Hatutaki matusi huku usijesababisha thread yetu ifungwe

Mpendwa achana na huyo mtu kavurugwa na kuzomewa!!Kachanganyikiwa na aibu!Nia yake uzi ufungwe!Tupo hapa kumjenga kiba achana na hao walolewa viroba!Yani mitusi yoote iyo kisa!!sisi wapole sana kama Ally K,na ndo ivo tupo kwa ajili yake,tupa kulee bhooooooouuu!
 
Sawa mpenzi bora nikae kimya...hakika msanii ana reflect tabia ya mashabiki wake...Kiba is too humble as well as his fans...
 
Kiulaiiiiini kabisa...hivi unaanzaje kumchukia Kiba jamani???akikuangalia na ile sura yake ya upole lazima uone aibu...
Watu wana roho ngumu jamani!!!!

mnaona sasa mnaopiga kelele humu ndani mmezama kwenye mahaba niteketeze na mtoto wa watu na mwaka huu mtambemenda mpaka adumae +++, me nafikiri mnampendea kazi kumbe mnampendea sur??? mwanaume kazi bwanaaa sura hata mbuzi anayo, na ndio maana kijana wa watu pamoja na kuwa na kipaji kikubwa pale juu hatoboi, kuna panya rodiz wanambemenda, mwambie aendelee kuuza sura mondi atauza kazi, na utambue heshima pesaaaa hayo mengine kelele kama za mbu wa dengue
 
Anhaa bora umenifumbua wewe kumbe kuna watu wako ki mahaba zaidi ndio maana hawaelewi wala hawasikii kwa lolote.
 
Heeee taratibu mama,nimesema sura ya upole...suala la kubemenda linakujaje???
Anyways...mimi ni mtu na ndoa yangu sina time na Kiba wala mwanaume yeyote yule zaidi ya mume wangu...upo???usidhani ushabiki wangu kwa Kiba ni wa kimapenzi...akaaah
 
Kazi hipo mwaka huu
Naona mtifuano umeamia hadi kwenye kupakua nyimbo ili kumsikiliza Alikiba!
Wimbo mpya MwanaFA feat Alikiba -kiboko yangu
Watu wamepakua hadi website imestuck! Tuna hitaji muwashabikie wasanii na mnunue kazi zao kama namna hii!

leteni na humu tafadhali
 
Anhaa bora umenifumbua wewe kumbe kuna watu wako ki mahaba zaidi ndio maana hawaelewi wala hawasikii kwa lolote.

nyani haoni kundule, wewe unadhani kilichompoteza kiba kwenye game ni nini??? jibu lipo waziiii, ni nyuchiz za big mamazzzzz mtoto mpenda mteremkoo wakambemendaa weeeeeeeeeee mpaka mkadumaaa moja ikawa haiingii mbili haisogeii dushelele likawekwa mateka, hata hivyo shukrani za dhati zije kwenu mashabiki kwa kumrescue alikuwa ICU kimziki na hata sasa mnamlazimisha kurudi kwenye game kilazima huyu mtoto ameshadumazwaa mbaya.

aibuuuu, aibu yakoooooo hata weweeeeee, kuna kipindi naangalia ITV ndio haya maneno yakanitoka jamani, hahahahahaa aibuuuu, aibuuu yakooooo.
 
Astaqafirullah!!!!sijazoea matusi baba tena unikome kabisa...hii thread inakuhusu nini wewe???hapa ni maalum kwa fans wa Kiba tu usiniletee stress zako za kuzomewa...
Hatutaki matusi huku usijesababisha thread yetu ifungwe

unauliza matusi uswahilini
Anataka thread ifungwe huyu
mpuuze
 
unauliza matusi uswahilini
Anataka thread ifungwe huyu
mpuuze

Nimekasirika kidogo nijibu mapigo nikakumbuka hapa sio pahala pake....ipo siku tutakutana sehemu nyingine lazima nitamuonyesha kazi...
 
Back
Top Bottom