Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

safi sn mwl kweli wewe ni mwl unayejitambua ndio maana uko kwa kiba
Much love kwa Mwalimu wa ukweliiii!!anayetambua na yupo proud na kazi yake ya ukweliii...anamshabikia mwanamziki makini wa ukweliiii!!Tisha sana Geniveros...mimi penda sana wewe!!Natamani uwe mwalim wangu japo wa tuition!!
 
Ooooooyo my nduguz mpoooo nmewamiss hatareee na mm leo nlitekwa na escrow bt naona mambo yameenda km kawa
 
safi sn mwl kweli wewe ni mwl unayejitambua ndio maana uko kwa kiba

hahaaaahaaaaa umenifurahisha ndo natoka sasa hv
leo yaani nilipika mchana full suti nikawa naskiliza
mustakabali wa nchi yetu
 
Much love kwa Mwalimu wa ukweliiii!!anayetambua na yupo proud na kazi yake ya ukweliii...anamshabikia mwanamziki makini wa ukweliiii!!Tisha sana Geniveros...mimi penda sana wewe!!Natamani uwe mwalim wangu japo wa tuition!!

umeona eeh!
binadamu anaejielewa anatakiwa acheze kotekote
njoo nikufundishe MATHS AU GEOG?$
 
Attachments

  • 1417222042968.jpg
    1417222042968.jpg
    8 KB · Views: 111
Happy birhthday Ally Kiba, Mungu akujaalie maisha marefu yenye baraka tele na mafanikio makubwa
 
happy birthday aly may our almighty guide u in every step ahead
 
Back
Top Bottom