Ali Kiba Fans' Special Thread...


Ebu tupishe hapa, utupende umekuwa Yesu??!!
 
Kama inawauma sana sie kumpenda Kibaaa kuleni viwembeee!!Na hatuachiii mtaropokwa sanaaa ila Kiba for real miaka mia daima dumuuuu!!
 
Jaman mbona uadui kosa letu nini dai kupata tuzo au mpendeni kijana

Uadui hilo mnalisema nyie sie wala hatuna uadui na mtu ila mapendo teele juu ya Kiba,sio lazima wote tumpende dai!!nakukumbusha tuu maana nadhani mahaba kwa shem letu yanatakiwa yawe juu zaidi ya Kiba!!
 

usijitoe ufahau bibiye i was there from day one, mlivyokuja na mashauzi yenu ya kiba ni mkali kuliko mondi, mara anakipaji mara alisifiwa na Rkelly, sooo what??? baada ya kusifiwa akaenda fungia kpaji kwenye fixed account eee??? kipaji bila juhudi tupa kuleeeeeeeee, mtatokwa povu sana lakini ukweli ndio huo, mondi juhudi zake ndizo zinazompeperusha, na sio kiki, what is kiki anyway??? kuigaiga tu misemo msiojua hata maana yake, kelele nyingi kazi hakuna, mi nikikuwa nawatizama tuu nilijua lazika mtaangukia pua.
 
Kibaaaaaa no matter what wewe mkaliii!!cheki vibibi vinavopagawa na wewe!!haaaaa
 
ukiwa limbukeni utahangaika sana, na ukijua kusoma na kuelewa walaa hupati shida, Kiba ninavyompenda yaani napata rahaa tu hata kwa kumtaja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…