Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Poyeeeeeeeee tunaingia uzi wowoteee fungeni kufuli tusiingieee
Kihede mswede ichooo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poyeeeeeeeee tunaingia uzi wowoteee fungeni kufuli tusiingieee
Sina hasira msilazimishe hisia fake,nawaonea huruma jinsi matumbo yalivowakorogeka pa kuachia uha*o hampaoni!!
Teh teh ninayo njoo ipake rangi iwe nyeupe BTW mwache Kiba akae mama rudi kwa domo mtuachie miaka billion no need of kiki from domos fans
mlianza nyie na kelele zenu za makopo kama ya mwaka mpya oooh!! the king iz back kaja kufuta vumbi, wapi king??? tukiwaambia toeni hizo tshet fasta ili zimbust king wenu atoe video kabla watu hatujasahau mashairi mnatoa povu?? sisi tunawapenda lakini kwa vile wenzetu mna nyota ya mbuzi kuishia kunywewa supu mtabaki hapo.
Ukimaliza kampe shemeji haki yake muda umekwenda huu!Yaaan poleni msikasirikeee jamani subirini fiesta mwakanii
waweke password, alaaaa, makofi kwa dangote kwanzaaaa
Kihede mswede ichooo!!
Huyo achana naye ataanza kulia sasa ivi!!Ana roho ngumu nyeusiii ushabiki tu anaweza kukuombea kifo kasahau hii ni burudani!!Ebu tupishe hapa, utupende umekuwa Yesu??!!
Ukimaliza kampe shemeji haki yake muda umekwenda huu!
Kama inawauma sana sie kumpenda Kibaaa kuleni viwembeee!!Na hatuachiii mtaropokwa sanaaa ila Kiba for real miaka mia daima dumuuuu!!
Weka pichaa
There is no need of pictures just for show off characters
Jaman mbona uadui kosa letu nini dai kupata tuzo au mpendeni kijana
Ebu tupishe hapa, utupende umekuwa Yesu??!!
Kelele unazifaham tulipiga madebe??tulikuja kwenu kuwatangazia!!grow up acha uchokoz wa kitoto lady!!ukiona povu linatoka ujue sabuni imekolea(kiba),alafu wewe unapenda sana kukimbilia neno 'roho mbaya',yani uniite nna roho mbaya kisa nazimika na mdundo wa Kiba!!plz!!Ukiwa mchokoz uwe na kumbukumbu!!hujawahi kuniona kwenu hata siku moja nikimkandia ndomo!!Na bado naona unajamba jamba tu huna jipya,enjoy ur stay in the mantion!!