Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

mlianza nyie na kelele zenu za makopo kama ya mwaka mpya oooh!! the king iz back kaja kufuta vumbi, wapi king??? tukiwaambia toeni hizo tshet fasta ili zimbust king wenu atoe video kabla watu hatujasahau mashairi mnatoa povu?? sisi tunawapenda lakini kwa vile wenzetu mna nyota ya mbuzi kuishia kunywewa supu mtabaki hapo.

Ebu tupishe hapa, utupende umekuwa Yesu??!!
 
Kama inawauma sana sie kumpenda Kibaaa kuleni viwembeee!!Na hatuachiii mtaropokwa sanaaa ila Kiba for real miaka mia daima dumuuuu!!
 
Jaman mbona uadui kosa letu nini dai kupata tuzo au mpendeni kijana

Uadui hilo mnalisema nyie sie wala hatuna uadui na mtu ila mapendo teele juu ya Kiba,sio lazima wote tumpende dai!!nakukumbusha tuu maana nadhani mahaba kwa shem letu yanatakiwa yawe juu zaidi ya Kiba!!
 
Kelele unazifaham tulipiga madebe??tulikuja kwenu kuwatangazia!!grow up acha uchokoz wa kitoto lady!!ukiona povu linatoka ujue sabuni imekolea(kiba),alafu wewe unapenda sana kukimbilia neno 'roho mbaya',yani uniite nna roho mbaya kisa nazimika na mdundo wa Kiba!!plz!!Ukiwa mchokoz uwe na kumbukumbu!!hujawahi kuniona kwenu hata siku moja nikimkandia ndomo!!Na bado naona unajamba jamba tu huna jipya,enjoy ur stay in the mantion!!

usijitoe ufahau bibiye i was there from day one, mlivyokuja na mashauzi yenu ya kiba ni mkali kuliko mondi, mara anakipaji mara alisifiwa na Rkelly, sooo what??? baada ya kusifiwa akaenda fungia kpaji kwenye fixed account eee??? kipaji bila juhudi tupa kuleeeeeeeee, mtatokwa povu sana lakini ukweli ndio huo, mondi juhudi zake ndizo zinazompeperusha, na sio kiki, what is kiki anyway??? kuigaiga tu misemo msiojua hata maana yake, kelele nyingi kazi hakuna, mi nikikuwa nawatizama tuu nilijua lazika mtaangukia pua.
 
Kibaaaaaa no matter what wewe mkaliii!!cheki vibibi vinavopagawa na wewe!!haaaaa
 
ukiwa limbukeni utahangaika sana, na ukijua kusoma na kuelewa walaa hupati shida, Kiba ninavyompenda yaani napata rahaa tu hata kwa kumtaja tu
 
Back
Top Bottom