Ali Kiba Fans' Special Thread...


watupe kwenye dastibini haaoo
 

Jamani,jamani!
Hili ni le Tamkoz + Ombiz kwa shem wetu mpendwa kwa Ms.Lincoln
Muache shost yetu ajiburudishe nafsi yake kwa akipendacho (Kiba's music).Amini yupo katika mikono salama kwenye hii familia ya kistaarabu...ondoa shaka kabisa.

Ni matumaini yangu kua utanielewa shem darling....
 
Last edited by a moderator:
Mi siko hivyo ndugu yangu naheshimu mtu yoyote anae onyesha juhudi kuyasaka maendeleo ili mradi tu iwe ni kwa njia halali istoshe sisi ni vijana chuki hazijengi....nita mpongeza hata kiba siku akifikia level kama hizi...sina moyo wa wivu.

best ar u u...??
 
Binadamu ni viumbe wa ajabu sana aisee
Yaani unatumia nguvu na akili mingi sana mkuu kujaribu kuupindisha ukweli?
Huo uelewa wako walahauwezi kubadili ukweli

Dah! Jamaa utakuwa unanikubali sana, yaani kwa kuandika hivyo tu umeona nimetumia akili nyingi sana. Asante kwa kunikubali, lakini ukweli wala sikutumia akili nyingi, kwani wakati naandika hiyo ndo nilikuwa nimetoka kulala.
Kwa huku niliko niliiandika saa 8 usiku, after kupokea Simu ya familia na kuzungumza nayo. Huwa natumia akili nyingi kwa kazi zilizonileta huku, kwangu muziki ni burudani tu kama ilivyo soka.
Ukweli upi uliopindishwa? Kwamba maelezo yangu yamesema Nassib hakupata tuzo? Si kweli kwamba studio kuu ya Channel O iko SA? Si kweli kwamba studio kuu ya MTV Base iko Nigeria? Si kweli kwamba CHOAMVA ni Tuzo za kituo cha TV?
Kwa taarifa yako Tuzo zina sarakasi nyingi sana, unajua kama Kanye West aliwahi kupanda ghafla jukwaani na kuponda Beyonce kunyimwa Tuzo aliyokuwa akiwania na Taylor Swift? Yote hiyo ni kwa sababu ya sarakasi za Tuzo. Matola kakueleza kwamba Westside Connection walikuwa wakali watupu na walitoa nyimbo kali tupu na hawakuwahi kupata tuzo?
Ova
 
Last edited by a moderator:
mie nilijua ulimbukeni kwenye mambo mengine tu kumbe hadi basideii, kweli watoto wa uswahilini everything is a big deal,
Kibaaaaa ni namba moja wangu
 
mie nilijua ulimbukeni kwenye mambo mengine tu kumbe hadi basideii, kweli watoto wa uswahilini everything is a big deal,
Kibaaaaa ni namba moja wangu

Wanataka picha ili waulize mwanamke wake ni yupi?hicho ndicho haswa wanachokiwaza.
 

my dear unatumia kiswahili kigumu mnooo thats y hawakuelewi!!! hebu ungeweka vijembe kidogo angalau wangepata mwangaza, hahaaaaaaa! mwl geniveros labda uchukue viboko alafu uende nao taratibu wataelewa somo japo kwa muda mrefu, ila najua uvumilivu kadia yako
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaas......uwiiiiii
Usibadili tena mpenzi tumeshakuzoea hivyohivyo kiubishi ubishi u know...
Mimi pia ni msukule mwenzio u know...

Ha ha ha haa!!I like it Le super fan kama mimi kuitwa msukule ni heshima u knw!!Lool kumbe sipo mwenyewe u knw!!Aah super love kwako msukule mwenza mandondocha wanatuonea wivu usipiiiime!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…