Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mama Kiba anavuta hisia za watu!!Ni kama wameipata kwa ajili yake!!Kiba hatari kwa afya ya mioyo ya watu aisee!!Kiba ni mnoma!!

Kiba ni hatareeee,uwiiiii can't wait kupiga kura hadi nizimie kwenye Kill music awards
Panapo majaaliwa
 
Unataka shikamoo ndo ujue anaheshimika!!tofautishha heshima na appreciation!!Unalazimisha acknowledgement!!?Mi hapo shkamoo mama wa kulia hapo!

kuna watu wana matatizo yao binafsi na laiti wangekuwa wanajua kusoma na kuelewa yaani haya walaaa yacngetokea, walianza wenyewe sasa sisi tukimaliza wanaumia tenaa!!! hakuna wenye chuki na nyie ila mnazipandikiza kwa lazima maana ndicho mlichozoea, sasa si mtuache basiiiiii
au mwasubiri tuwape tuzo za fujo na uelewa mdogo!???
 
Yani ndo nini nawe kutumia ID ngumu kama nini...wajitia uzungu...hahahaaa
Hadi kuku mention naogopa...
I love you too Ms.Lincoln,unajua sana basi tu kujitoa fahamu
Nilikuelewa dear,basi tu napenda kuongea na wewe Le super fan,Mbebez wa ukweliii!!u knw am humbled to know u!!
 
Last edited by a moderator:

Uwiiiiii,yaani unaniuwa wewe na hizo swaga za ki Le Mutuz u know....haha haaa
 
Unataka shikamoo ndo ujue anaheshimika!!tofautishha heshima na appreciation!!Unalazimisha acknowledgement!!?Mi hapo shkamoo mama wa kulia hapo!

Mi siko hivyo ndugu yangu naheshimu mtu yoyote anae onyesha juhudi kuyasaka maendeleo ili mradi tu iwe ni kwa njia halali istoshe sisi ni vijana chuki hazijengi....nita mpongeza hata kiba siku akifikia level kama hizi...sina moyo wa wivu.
 
Yani ndo nini nawe kutumia ID ngumu kama nini...wajitia uzungu...hahahaaa
Hadi kuku mention naogopa...
I love you too Ms.Lincoln,unajua sana basi tu kujitoa fahamu

hahaaaaa!!! yaani mpaka kuweza kummention nilipata shida sana
 
Last edited by a moderator:
Mi siko hivyo ndugu yangu naheshimu mtu yoyote anae onyesha juhudi kuyasaka maendeleo ili mradi tu iwe ni kwa njia halali istoshe sisi ni vijana chuki hazijengi....nita mpongeza hata kiba siku akifikia level kama hizi...sina moyo wa wivu.
Sasa wivu ni kutompongeza dai?kafanya nini kwani mi sielewi!?Kiba jana ilikua birthday yake,ulimpongeza!?Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?!Hatuna chuki na mtu we r just bussy doing our things!!
 
Ahsante mama,uwiiiii umepigilia msumari wa moto kwenye donda bichi! 😉😉
 
Ana ID ngumu sana mwenzetu,khaaa lakini nampenda hadi nasinzia u know....haha haaaa

Usijali mine,nawaza kuchange I'd ili nisiwape shida sana,U knw uzungu ndo kila kitu u knw!!Am humbled kuwa part ya hii familia!!Nakupenda sana pia mpaka natetemeka u knw!!Mimi mbele ya Kiba nimeitwa msukule u knw!!
 
Mkuu hebu tusaidie picha za Party ya Birthday ya Kiba... Plz
 
Sielewiii,kosa kubwa ni mie kumpenda Kiba!!Msinilaumu mie lawama ziende juu ya kipaji cha Kiba cha hali ya juu,kazi makini,ustaarabu na tungo zake matata,am innocent!!Naburudishwa naye sana nashindwa kujizuia hadi beib wangu anajua na yupo humu aamenipiga mpaka top kupost humu lakini sikomiii,sembuse nyie wenye ndoa zenu anawawewesesha kwa kumponda kutwaaa!!Uwii baba na mama walishindwa utaniweza wewe jini kitrorondoo!!(In congolese voice)
 
Sasa wivu ni kutompongeza dai?kafanya nini kwani mi sielewi!?Kiba jana ilikua birthday yake,ulimpongeza!?Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?!Hatuna chuki na mtu we r just bussy doing our things!!

wanapenda hao hilo neno la chuki jamani, mie cdhani hata waliomzomea dai km walikuwa na chuki naye ila walitaka kumuonyesha kuwa kuna mahali kakosea ajirekebishe!!! mbona wasizomewe wengine?? mf lina mie ckuona hata alichoperform ila mbina hakuzomewaa, tulieni mcpaparike kulazimisha visivyokuwepo, alaaaaaaaa
 
Alaaaaa!!Inapaswa waelewe chuki na wivu sio jawabu la kila swali!Nadhani jibu sahihi ni Kuwa to us Kiba is the best!!Simple like that!!
 
pole na majukumu mwl wa ukweli, mie nikajua umewapa watu adhabu ya kuruka kichura chura maana zilirukwa hapa, sie tukawa tunawacheki tu

nimeona nimechoka kweli
i never expect this aisee kumbe kuna mabifu makubwa
single moja tu shhhhhhiiiiida
 
Usijali mine,nawaza kuchange I'd ili nisiwape shida sana,U knw uzungu ndo kila kitu u knw!!Am humbled kuwa part ya hii familia!!Nakupenda sana pia mpaka natetemeka u knw!!Mimi mbele ya Kiba nimeitwa msukule u knw!!

Hahahahaaas......uwiiiiii
Usibadili tena mpenzi tumeshakuzoea hivyohivyo kiubishi ubishi u know...
Mimi pia ni msukule mwenzio u know...
 
Usijali mine,nawaza kuchange I'd ili nisiwape shida sana,U knw uzungu ndo kila kitu u knw!!Am humbled kuwa part ya hii familia!!Nakupenda sana pia mpaka natetemeka u knw!!Mimi mbele ya Kiba nimeitwa msukule u knw!!

ukibadili ckupendi tena!
 
Back
Top Bottom