Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

maji hayaachi asili hata yakichemka vipi, hawa watu asili yao ni fujo so ukiwajua walaaa hawakuumizi kichwa(they learned from the best), jamani nampenda Kiba zaidi ya ninavyoweza kueleza, hana chuki,hana dharau,mtaratibu,handtham,anajua kuimba,mtunzi bora......... the list goes on and on, so akirekebisha kasoro chache atakuwa bora zaidi
 
Uwiiii jamani atoto mbavu zangu mie

mi ninachotaka ulimwengu mzima ujue nakupendaa, na kama burudani ushanipa ndio maana nipo hapaaa(namaanisha kiba)
 
Last edited by a moderator:
Mlikuwa wapiiii?Honey faith,brenda 18,Mdakuzi,Nifah,mmetuachia jaka lakini jeshi la Kiba matata sana,mtu mmoja kwa ndondocha mia!!Ilikua raha sana kubishana na wehu!!

Uwiiii niliku miss hatariiii,nimefurahi kwa michamboz yakoz ya hajaz u know....hahahaass nimem miss Le Mutuz jamani sijui kampata wapi mbebez mwingine
 
badala wakae wajitathmini wanakaa kuhangaika na kiba, bora unyimwe macho ila upewe akili yenye uelewa utafanya mambo makubwa sn kuwashinda wenye macho, wanahangaika na adui wasomjua kuchwaaa, mie nampenda Kiba hata km hajawahi kupata tuzo na nalijua hili na nina sababu zangu, cjaanza kumshabikia jana, soo kwangu Kiba is the best male artist tz

Haha haaaa niko kwa Mange nasoma michambo,ajabu leo kaachia comments zinazomponda
 
Kuna tatizo la uelewa kwenye kazi na biashara ya muziki, niliwahi kutolea mfano wa Ice Cube kutopata Tuzo licha ya kuimba na kushiriki kwenye nyimbo kali na akiimba na wanamuziki wakali.
Sasa kutwaa hizo Tuzo za Kanda ya mashariki na kutwaa Tuzo ya mwanamuziki chipukizi ndio la kupigia kelele hapa? Tatizo wengi wa wawapiga kelele wa mtaa wa pili walianza kufuatilia muziki baada ya jirani yao Nassib kuanza kuimba.
Kwa hiyo hawana Historia yoyote ya muziki wa Kimataifa wala uelewa mpana wa muziki wenyewe, hawajui Jide alishachukua hii Tuzo ya Channel O na kutumbuiza kwenye Tuzo hizo miaka kibao iliyopita.
Ova

Binadamu ni viumbe wa ajabu sana aisee
Yaani unatumia nguvu na akili mingi sana mkuu kujaribu kuupindisha ukweli?
Huo uelewa wako walahauwezi kubadili ukweli
 
maji hayaachi asili hata yakichemka vipi, hawa watu asili yao ni fujo so ukiwajua walaaa hawakuumizi kichwa(they learned from the best), jamani nampenda Kiba zaidi ya ninavyoweza kueleza, hana chuki,hana dharau,mtaratibu,handtham,anajua kuimba,mtunzi bora......... the list goes on and on, so akirekebisha kasoro chache atakuwa bora zaidi

Heheheeee mimi siku hizi nawapotezea tu,sina mda
 
Binadamu ni viumbe wa ajabu sana aisee
Yaani unatumia nguvu na akili mingi sana mkuu kujaribu kuupindisha ukweli?
Huo uelewa wako walahauwezi kubadili ukweli

Tuanze na wewe kama ajabu la kwanza la dunia...
Namsubiria Mdakuzi sijui atakujibu vipi
 
Last edited by a moderator:
Uwiiii niliku miss hatariiii,nimefurahi kwa michamboz yakoz ya hajaz u know....hahahaass nimem miss Le Mutuz jamani sijui kampata wapi mbebez mwingine
Ilikua kivumbiiii!!patashika nguo kuchanika!!Wanamaneno ya shombo za kitoto sana sasa haikua kazi u knw!!wakasema mmesusia uzi,nkawakumbusha kuwa mna majukumu mengi,hapa sio sehemu ya kulalia na kuamkia ni burudani tuu!!Gadem mburulaz hawaelewiiii!!
 
Nilitaka kumjibu yule le fisiz,chicken head basi tu nikampotezea...eti tumeususia uzi!Mimi nifah au mwingine?ni bora nisiingie JF milele kuliko kuususia uzi wa King Kiba wangu
 
Last edited by a moderator:
Za asubuhi jamani leo niko busy busy waungwana nna ugeni kidogo
 
Ilikua kivumbiiii!!patashika nguo kuchanika!!Wanamaneno ya shombo za kitoto sana sasa haikua kazi u knw!!wakasema mmesusia uzi,nkawakumbusha kuwa mna majukumu mengi,hapa sio sehemu ya kulalia na kuamkia ni burudani tuu!!Gadem mburulaz hawaelewiiii!!

achana nao mama, wapotezee tu, bora umerudi tujiburudishe na kusema na kiba wetu
 
Atoto una busara sana!Pokea juice ya nanasi hapo!Kiba ana ubora sana ila afanyie kazi kasoro zake zisizofichika!!wakambandikia maneno kwa picha(haaa!kicheko!),haachi mtu kitu hapaaa!
 
Back
Top Bottom