Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
Ha ha ha haaaa!!U made my day Nifah!!Le super tamkozz hili ni hatariii nadhani ameanza kuelewa Amante!!Naona saa izi anatingisha kichwa bila kujielewa anafuatisha midundo ya Mwana!!Hatareee Mwana Kiboko yao!!Jamani,jamani!
Hili ni le Tamkoz + Ombiz kwa shem wetu mpendwa kwa Ms.Lincoln
Muache shost yetu ajiburudishe nafsi yake kwa akipendacho (Kiba's music).Amini yupo katika mikono salama kwenye hii familia ya kistaarabu...ondoa shaka kabisa.
Ni matumaini yangu kua utanielewa shem darling....
Huyo ni mzaa chema anayepokea wakwe wapya daily,na huyo pembeni ni maza fulani,muuza unga,katikati ni punda wake mpya!!Hapa nawaona wamama watu wazima wawili na domo, hawa wamama ni kina nani?
Ha ha ha haaaa!!U made my day Nifah!!Le super tamkozz hili ni hatariii nadhani ameanza kuelewa Amante!!Naona saa izi anatingisha kichwa bila kujielewa anafuatisha midundo ya Mwana!!Hatareee Mwana Kiboko yao!!
Ahsante kwa kuniombea poo inabidi aelewe shem darling wakoo!!
Aisee...sijapata kuona mchagga mbea kama wewe....huo ndio ukweli taka usitake
Dah! Jamaa utakuwa unanikubali sana, yaani kwa kuandika hivyo tu umeona nimetumia akili nyingi sana. Asante kwa kunikubali, lakini ukweli wala sikutumia akili nyingi, kwani wakati naandika hiyo ndo nilikuwa nimetoka kulala.
Kwa huku niliko niliiandika saa 8 usiku, after kupokea Simu ya familia na kuzungumza nayo. Huwa natumia akili nyingi kwa kazi zilizonileta huku, kwangu muziki ni burudani tu kama ilivyo soka.
Ukweli upi uliopindishwa? Kwamba maelezo yangu yamesema Nassib hakupata tuzo? Si kweli kwamba studio kuu ya Channel O iko SA? Si kweli kwamba studio kuu ya MTV Base iko Nigeria? Si kweli kwamba CHOAMVA ni Tuzo za kituo cha TV?
Kwa taarifa yako Tuzo zina sarakasi nyingi sana, unajua kama Kanye West aliwahi kupanda ghafla jukwaani na kuponda Beyonce kunyimwa Tuzo aliyokuwa akiwania na Taylor Swift? Yote hiyo ni kwa sababu ya sarakasi za Tuzo. Matola kakueleza kwamba Westside Connection walikuwa wakali watupu na walitoa nyimbo kali tupu na hawakuwahi kupata tuzo?
Ova
Aisee...sijapata kuona mchagga mbea kama wewe....huo ndio ukweli taka usitake
Hahahahaaa! Nimegundua kwamba majirani zetu ni wepesi sana. Wajuacho ni kuchokoza watu ili mbaki kutukanana na msibishane kwa hoja na uelewa.
Ova
Huyo ni mzaa chema anayepokea wakwe wapya daily,na huyo pembeni ni maza fulani,muuza unga,katikati ni punda wake mpya!!
my dear unatumia kiswahili kigumu mnooo thats y hawakuelewi!!! hebu ungeweka vijembe kidogo angalau wangepata mwangaza, hahaaaaaaa! mwl geniveros labda uchukue viboko alafu uende nao taratibu wataelewa somo japo kwa muda mrefu, ila najua uvumilivu kadia yako
umeua wangu
kukaa nyumba za ibada sio kwenda kuabudu
Aisee...sijapata kuona mchagga mbea kama wewe....huo ndio ukweli taka usitake
slow learners viboko havisaidii
dawa yao hawa ni kutumia participation method during teaching and learning process
adhabu zao ni kua mvumilivu tu
shikamoo tena
mi napenda hivi