Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nitakuwa nimefeli sana kama nikipita na kuishia kutazama tu maneno kama haya yenye ukweli mtupu na kuyakubali....ni kiba pekee ambaye mpaka leo ameweza kuwasahaulisha watanzania kama Davido na T.I walikuwepo kwenye tamasha la fiesta leaders (alichokifanya sina haja ya kurudia kukielezea)........ni kiba pekee ambaye anaweza akakufanya uambulie fedheha hata mitusi kama ukikaa na wajanja wenye mji wao ukaanza kumuongelea kiba vibaya
Kwani wewe umewahi kuona?
 
Post buku3 kama tuzo ya bet jins unavyonata na mada zenye mashiko we sio wa kumixiwa na wasifia pombe na ganja ka wakina bob shmurda waache waongopeana si 2nawasubir mana ka wana dawa wenye dstv wanazi0‹2na video za maana mpaka leo wanajiuliza ila pasopa2 maon yameshawafkia 2one yatatokea mapya bdae au litabakia hlohlo kama kiungo cha uzazi
 
Sihitaji tuzo kwa kulipwa vitu feki nahitaj tuzo kwa kuvutia mashabik,sitak matatizo kwa kupitia huu muzik hata nisipopata tuzo Mungu ameshanibariki.j moe

Kitu bora kinabaki kuwa bora tu hata kisipopata tuzo bado ni bora...
 
katika Maisha yangu tangu nazaliwa sijawahi ona mwanamuziki/mfanyakazi/mtu yeyote amekaa kimya muda mrefu halafu watu wakamng'ang'ania arudi......pia sijawahi ona
mwanamuziki anatoa Audio inakaa miezi mitano na watu bado wanaitamani video yake.....pia sijawahi ona mtu mpole anakua maarufu bila kuwa na mapepe fulani......ONLY IN TANZANIA......ONLY ALI KIBA....Nimegundua watu wanampenda sana....sijawahi ona mapenzi makubwa kiasi hiki...

we acha tu ila dogo angejibrand vizuri mbona ni star
 
nitakuwa nimefeli sana kama nikipita na kuishia kutazama tu maneno kama haya yenye ukweli mtupu na kuyakubali....ni kiba pekee ambaye mpaka leo ameweza kuwasahaulisha watanzania kama Davido na T.I walikuwepo kwenye tamasha la fiesta leaders (alichokifanya sina haja ya kurudia kukielezea)........ni kiba pekee ambaye anaweza akakufanya uambulie fedheha hata mitusi kama ukikaa na wajanja wenye mji wao ukaanza kumuongelea kiba vibaya

na ni ali pekee ambaye cjawai kumuita jina tofaut na alilopewa na waliomzaa kwanza huwa najickia vibaya sana mfano kumuita wacko jacko michael jackson janet atazingua nahisi hapo ndo nazid kukupenda nyota wangu ambaye aka yako umetka nayo tumboni
 
sure sijawahi skia ana jina la ajabu
 
katika Maisha yangu tangu nazaliwa sijawahi ona mwanamuziki/mfanyakazi/mtu yeyote amekaa kimya muda mrefu halafu watu wakamng'ang'ania arudi......pia sijawahi ona
mwanamuziki anatoa Audio inakaa miezi mitano na watu bado wanaitamani video yake.....pia sijawahi ona mtu mpole anakua maarufu bila kuwa na mapepe fulani......ONLY IN TANZANIA......ONLY ALI KIBA....Nimegundua watu wanampenda sana....sijawahi ona mapenzi makubwa kiasi hiki...

Yaani hii comment ni kama umeitoa moyoni kwangu ukaileta hapa...
Nimeipenda hii
 
kawaida yake kubamba, hilo la management sasaaaaaaa yaani hapo ndio penyewe

Alisema amelifanyia kazi pia. Ndio maana mpaka sasa naona mambo yanakwenda kwa mpangilio mzuri, hayana kukurupuka. Nadhani ni wakati wake kudhihirisha.
Ova
 
hahaaaaaa
nilikua nahitaji msaada nataka niwe nawauzia korosho mi nimehama mtwara ila hua naenda mara kwa mara kufata bizness
Matola kuna kitu ntahitaji unisaidie maana najua we mzoefu

Tell me now........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom