Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu mapashukuna jamani!! anashangaaa tunachofanya ilhali naye yumo!! hahhaaaaaaaa! au mlisahau kuwa hapa ni mtakuja!!!
Kibaaaaaaaaaaaaaa
hahaaaa!! napapendaga hapo!!
wamenifurahisha kwakweli, big 5 to them
Yaani nimecheka leo hatariiii,mtoa mada na wanakijiji wenzie wamekosa la kusema...watu wametiririka hadi nikaogopa,nimeshindwa hata kulike maana ni wengi mno!!!
Love ya all guys mliofanya kweli huko akina slim5 na wengine
kuna watu mapashukuna jamani!! anashangaaa tunachofanya ilhali naye yumo!! hahhaaaaaaaa! au mlisahau kuwa hapa ni mtakuja!!!
Kibaaaaaaaaaaaaaa
Nyie watu mnajua kuwatia kichaa wenzenu. Hivi vijembe ndo vinawaweka roho juu wenzenu. Huwa nacheka, tumejua kuwa na timu ya ushindi.
Ova
Yaani nimecheka leo hatariiii,mtoa mada na wanakijiji wenzie wamekosa la kusema...watu wametiririka hadi nikaogopa,nimeshindwa hata kulike maana ni wengi mno!!!
Love ya all guys mliofanya kweli huko akina slim5 na wengine
umefanya vizuri kutomquote maana ungempa kick!comment kama zile ni kuzichubulia tu!halafu alivyokuwa ana tabia za kishoga akaamua kumuita basha wake sijui shoga wake!.....tatizo hawajajua washabiki wa kiba wengi tumejiajiri,hatuna stress za maisha kama alivyo king kiba, ndo maana hatuna muda maalumu wa kuwa humu jamvini siyo kama mashabiki wa yule nani sijui mwenye mdomo mkubwa!jina limeshanitoka...hao wana muda maalumu wa kutamba huku baada ya matajiri zao kuwapa nafasi
Muuza sura kula tano za nguvu!!Humu watu na shughuli zao,wakiwa mapumzikoni ndo wanatiririka,sijawasahau wapenzi wengine pia walo home kwa sababu za ulezi,kutunza family au kumaliza masomo!Ila namaanisha ni watu wenye staha!ila mara moja moja huwa najitoa ufaham panapobidi,ukimquote unampa kiki mwache akafie mbele!!umefanya vizuri kutomquote maana ungempa kick!comment kama zile ni kuzichubulia tu!halafu alivyokuwa ana tabia za kishoga akaamua kumuita basha wake sijui shoga wake!.....tatizo hawajajua washabiki wa kiba wengi tumejiajiri,hatuna stress za maisha kama alivyo king kiba, ndo maana hatuna muda maalumu wa kuwa humu jamvini siyo kama mashabiki wa yule nani sijui mwenye mdomo mkubwa!jina limeshanitoka...hao wana muda maalumu wa kutamba huku baada ya matajiri zao kuwapa nafasi
Yaani hii comment ni kama umeitoa moyoni kwangu ukaileta hapa...
Nimeipenda hii
Tell me now........
wewe tenaaaa
Jamani jamani!Kuanzia sasa itabidi nikae kimya niwasome tu...mnanionea sana
Nyinyi noma.
Ova
Pop it in...
Jamani jamani!Kuanzia sasa itabidi nikae kimya niwasome tu...mnanionea sana