Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwani wewe umewahi kuona?
 
Post buku3 kama tuzo ya bet jins unavyonata na mada zenye mashiko we sio wa kumixiwa na wasifia pombe na ganja ka wakina bob shmurda waache waongopeana si 2nawasubir mana ka wana dawa wenye dstv wanazi0‹2na video za maana mpaka leo wanajiuliza ila pasopa2 maon yameshawafkia 2one yatatokea mapya bdae au litabakia hlohlo kama kiungo cha uzazi
 
Sihitaji tuzo kwa kulipwa vitu feki nahitaj tuzo kwa kuvutia mashabik,sitak matatizo kwa kupitia huu muzik hata nisipopata tuzo Mungu ameshanibariki.j moe

Kitu bora kinabaki kuwa bora tu hata kisipopata tuzo bado ni bora...
 

we acha tu ila dogo angejibrand vizuri mbona ni star
 

na ni ali pekee ambaye cjawai kumuita jina tofaut na alilopewa na waliomzaa kwanza huwa najickia vibaya sana mfano kumuita wacko jacko michael jackson janet atazingua nahisi hapo ndo nazid kukupenda nyota wangu ambaye aka yako umetka nayo tumboni
 
na ni ali pekee ambaye cjawai kumuita jina tofaut na alilopewa na waliomzaa kwanza huwa najickia vibaya sana mfano kumuita wacko jacko michael jackson janet atazingua nahisi hapo ndo nazid kukupenda nyota wangu ambaye aka yako umetka nayo tumboni

sure sijawahi skia ana jina la ajabu
 

Yaani hii comment ni kama umeitoa moyoni kwangu ukaileta hapa...
Nimeipenda hii
 
kawaida yake kubamba, hilo la management sasaaaaaaa yaani hapo ndio penyewe

Alisema amelifanyia kazi pia. Ndio maana mpaka sasa naona mambo yanakwenda kwa mpangilio mzuri, hayana kukurupuka. Nadhani ni wakati wake kudhihirisha.
Ova
 
hahaaaaaa
nilikua nahitaji msaada nataka niwe nawauzia korosho mi nimehama mtwara ila hua naenda mara kwa mara kufata bizness
Matola kuna kitu ntahitaji unisaidie maana najua we mzoefu

Tell me now........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…