Ali Kiba Fans' Special Thread...

kuna watu mapashukuna jamani!! anashangaaa tunachofanya ilhali naye yumo!! hahhaaaaaaaa! au mlisahau kuwa hapa ni mtakuja!!!
Kibaaaaaaaaaaaaaa
 
kuna watu mapashukuna jamani!! anashangaaa tunachofanya ilhali naye yumo!! hahhaaaaaaaa! au mlisahau kuwa hapa ni mtakuja!!!
Kibaaaaaaaaaaaaaa

Achana nae huyo,eti wakosa kazi...yeye mwenye nayo amekuja kufanya nini hapa?muda wa ku comment kaupata wapi?tena comments 2!!!
 
wamenifurahisha kwakweli, big 5 to them

Yaani nimecheka leo hatariiii,mtoa mada na wanakijiji wenzie wamekosa la kusema...watu wametiririka hadi nikaogopa,nimeshindwa hata kulike maana ni wengi mno!!!
Love ya all guys mliofanya kweli huko akina slim5 na wengine
 
Last edited by a moderator:

Nyie watu mnajua kuwatia kichaa wenzenu. Hivi vijembe ndo vinawaweka roho juu wenzenu. Huwa nacheka, tumejua kuwa na timu ya ushindi.
Ova
 
Last edited by a moderator:
kuna watu mapashukuna jamani!! anashangaaa tunachofanya ilhali naye yumo!! hahhaaaaaaaa! au mlisahau kuwa hapa ni mtakuja!!!
Kibaaaaaaaaaaaaaa

umefanya vizuri kutomquote maana ungempa kick!comment kama zile ni kuzichubulia tu!halafu alivyokuwa ana tabia za kishoga akaamua kumuita basha wake sijui shoga wake!.....tatizo hawajajua washabiki wa kiba wengi tumejiajiri,hatuna stress za maisha kama alivyo king kiba, ndo maana hatuna muda maalumu wa kuwa humu jamvini siyo kama mashabiki wa yule nani sijui mwenye mdomo mkubwa!jina limeshanitoka...hao wana muda maalumu wa kutamba huku baada ya matajiri zao kuwapa nafasi
 
Yaani nimecheka leo hatariiii,mtoa mada na wanakijiji wenzie wamekosa la kusema...watu wametiririka hadi nikaogopa,nimeshindwa hata kulike maana ni wengi mno!!!
Love ya all guys mliofanya kweli huko akina slim5 na wengine

yaani they made my day
 
Last edited by a moderator:

Umeongea maneno ya watu elfu moja mkuu. Ni kosa kubwa katika maisha kudhani kila mtu yuko sawa na wewe. Umemjibu vizuri sana.
Wengine wanasumbuliwa na wivu hasa kwa kukuta watu wameungana namna hii kwa ajili ya jambo moja tu, ambalo ni Ali Kiba, halafu yeye hayumo kwenye umoja huo ambao unazidi kukua. Tuna pages mia mbili sasa.
Ova
 
Muuza sura kula tano za nguvu!!Humu watu na shughuli zao,wakiwa mapumzikoni ndo wanatiririka,sijawasahau wapenzi wengine pia walo home kwa sababu za ulezi,kutunza family au kumaliza masomo!Ila namaanisha ni watu wenye staha!ila mara moja moja huwa najitoa ufaham panapobidi,ukimquote unampa kiki mwache akafie mbele!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…