Kuanzia leo sichezi na Matola loo!!nilijisepetunga kumwambia tubadilishane kama hakuniona vilee!
Nilikumiss mpaka naumwa mpenzi. Siku ikawa ndefu hatari. Hahahaaa
Ova
Hahahaaa uwiiiii mimi hadi nimeumwa jamani!akah ikabidi nikutafute...sasa at least najisikia vizuri
Kuanzia leo sichezi na Matola loo!!nilijisepetunga kumwambia tubadilishane kama hakuniona vilee!
Itatimia tu usijali. Si wajua kama tunahesabu mawiki tu? hunishindi mimi baby, taarifa za Kiba kukamilisha video kwa kiwango cha mbele zimemaliza usingizi wangu wote, kweli ningekuwa TZ pasingelalika hata iweje, hahahahahaaa.
Ova
Hayakuhusu? Hahahahaaa. Nimecheka sana, eti niwaachie wanamapinduzi. Ah una maneno sana mpenzi wangu.
Ova
Kiba ni noma sana. Video ndo ishakamilika sasa, watu washaanza kuweweseka, wanaomba umoja wa wanamuziki wa bongo.
Ova
Haya sasa Mdakuzi utaweza kutuwekea link ya video hapa ikitoka as soon as possible?
Kama huwezi sema tumcheki Somji Juma
mpaka nimekunywa maji hapa nakaribia kumaliza lita ya3
Lazima iwe hivyo, hakuna cha kuzuia.Hahahahaaa I wish uje wakati wa kutoa tuzo za kill music tuende wote mlimani city kumsapoti King Kiba!!! 🙄🙄
Hahahahaaaaaa Avemaria umeniua mbavu zangu jamani!!!!
Sitakiii uniongeleshee!nifah nnalia hapa kwa aibuuu!!kukataliwa na Kiba's fan ni serious kuliko kupata ebola!!
Lazima iwe hivyo, hakuna cha kuzuia.
Ova
Kesho nitasema baada ya kuzungumza na wawili watatu. Hiyo video mbona ya wote, hakuna wa kuikosa. Muuza Sura alisema hapa kama watanyamaza tu.
Ova
Nakuombea ucheke zaidi ili makunyanzi yaongezeke kwa kasi....teh! teh! teh labda na wenzio watatamwapo!!!