Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kuanzia leo sichezi na Matola loo!!nilijisepetunga kumwambia tubadilishane kama hakuniona vilee!

we muache tu ajitoe akili, si ndio maana nikakwambia tukaogee maji ya madafu mama?
 
Haya sasa Mdakuzi utaweza kutuwekea link ya video hapa ikitoka as soon as possible?
Kama huwezi sema tumcheki Somji Juma
 
Last edited by a moderator:
Itatimia tu usijali. Si wajua kama tunahesabu mawiki tu? hunishindi mimi baby, taarifa za Kiba kukamilisha video kwa kiwango cha mbele zimemaliza usingizi wangu wote, kweli ningekuwa TZ pasingelalika hata iweje, hahahahahaaa.
Ova

Hahahahaaa I wish uje wakati wa kutoa tuzo za kill music tuende wote mlimani city kumsapoti King Kiba!!! 🙄🙄
 
Kiba ni noma sana. Video ndo ishakamilika sasa, watu washaanza kuweweseka, wanaomba umoja wa wanamuziki wa bongo.
Ova

Sitakiii uniongeleshee!nifah nnalia hapa kwa aibuuu!!kukataliwa na Kiba's fan ni serious kuliko kupata ebola!!
 
Sitakiii uniongeleshee!nifah nnalia hapa kwa aibuuu!!kukataliwa na Kiba's fan ni serious kuliko kupata ebola!!

Na wewe hebu acha kudeka umekataliwa na nani?

Basi usikonde kesho tunakwenda kula mishkaki ya samaki Didi's pub Masaki then tunamalizia kwenda Movie kwa Manji. I hope u can accept my offer.
 
Kesho nitasema baada ya kuzungumza na wawili watatu. Hiyo video mbona ya wote, hakuna wa kuikosa. Muuza Sura alisema hapa kama watanyamaza tu.
Ova

Aiseee hiyo siku lazima Kiba abreack internet baada ya Kim K
 
Last edited by a moderator:
nimeona e-news kuwa kiba anatarajia kupiga mziki wa live na wasanii wengine(cwakumbuki) huko zanzibar, nafurahi ninaposikia anafanya mziki wa live maana haya macd inabidi aachane nayo sasa
 
Back
Top Bottom