Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Na wewe hebu acha kudeka umekataliwa na nani?

Basi usikonde kesho tunakwenda kula mishkaki ya samaki Didi's pub Masaki then tunamalizia kwenda Movie kwa Manji. I hope u can accept my offer.

Atoto!atoto kumbe kweli ukizika mbuzi inasaidia heee!!Offer accepted ahsante mganga wa ndomo jamaniii!
 
Jamani hii thread itapata viewers wengi sana leo,wambea saaaasa uwiiiii PM zitawaka moto leo
 
Sasa unadhani iyo video hata kama angeifanyia kwa mtogore jinsi inavosubiliwa lazima ibreak internet tuuu!!
 
Jamani hii thread itapata viewers wengi sana leo,wambea saaaasa uwiiiii PM zitawaka moto leo
Yani achaa!!naona wale mapashkuna yakikuona wewe na Matola huwa yanatetemeka hayajiii yanabaki kuongea pembeni!
 
Sasa unadhani iyo video hata kama angeifanyia kwa mtogore jinsi inavosubiliwa lazima ibreak internet tuuu!!
Lazima, mashabiki wanaisubiri, TV's stations zinasubiri na hata mtaa wa pili wanaisubiri. Nani ataki kuona ukamilisho wa kazi bora kabisa ya Mwana? Hakuna..
Ova
 
nimeona e-news kuwa kiba anatarajia kupiga mziki wa live na wasanii wengine(cwakumbuki) huko zanzibar, nafurahi ninaposikia anafanya mziki wa live maana haya macd inabidi aachane nayo sasa

Ni Tamasha la Sauti za busara atapanda stejini mwezi wa pili mwakani na wasanii kutoka nchi mbalimbali kwa ajili ya live show.
 
nimeona e-news kuwa kiba anatarajia kupiga mziki wa live na wasanii wengine(cwakumbuki) huko zanzibar, nafurahi ninaposikia anafanya mziki wa live maana haya macd inabidi aachane nayo sasa

kiba si mara ya kwanza kuimba live nshamuona kwenye miss tz miaka iliyopita
na anaimba vizuri tu sanaaaa the guy is good
 
Back
Top Bottom