Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ama kweli we bado mtoto. Hiyo offer ya kwenda Didi's akitokea Diva Beyonce le queen mwenyewe unadhani utaipata?? Thubutu
Matola anazuga tu hapa na mtindo wa sweet nothing, bado hajakabwa na wife wake.....uwiiiiii (kwani lala moko yumo siku hizi jamvini?)
hahaaa!! bora umemwambia mama, maana namuona tu anavyofurahia kuwa (by the way) nitafanyaje sasa!!! hahaaaaa! Ms.Lincoln kwahiyo wewe ndio kiraka cha matola? ngoja ije suruali mpya diva uone utavyotupwa
Last edited by a moderator: