Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ha ha ha!!Ila sweetie naniliu la.. Yupo wapi!?
huhuuu! akijibu niite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha!!Ila sweetie naniliu la.. Yupo wapi!?
Mi hapa najitoa. We jiweke tu kwa Matola a.k.a fuata nyuki utoke manundu!
hahaaaa!!! mi siharibu natengeza jamani, nampenda sn Ms.Lincoln maana naona anainusa icu
hahaaa!! bora umemwambia mama, maana namuona tu anavyofurahia kuwa (by the way) nitafanyaje sasa!!! hahaaaaa! Ms.Lincoln kwahiyo wewe ndio kiraka cha matola? ngoja ije suruali mpya diva uone utavyotupwa
Coliation of envil.
Naogopa kuchambwaaa!!yeye alisema yupo single ila!...kweli huyu mbabu wa escrow ana balaa ndo maana diva beyonce kala kona!!we muache afurahie alafu yeye ndio aje awe movie
Naona umedhamilia kabisa!!
Jiachie am the Man.
Naogopa kuchambwaaa!!yeye alisema yupo single ila!...kweli huyu mbabu wa escrow ana balaa ndo maana diva beyonce kala kona!!
we muache afurahie alafu yeye ndio aje awe movie
Ha ha ha!!we mbabu wa escrow unataka kunipambanisha na bomu la nucler!Kweli siku za mwisho upendo utaisha!!ila movie ipo palepale(nakufa na tie shingoni)Yani sikutegemea kama wewe ni mkaanga sumu kiasi hiki!!
we c ulijua umepata eeh ukamuona diva mjingaaa!!! sasa huko icu sisi tutakuja utusimulie namna ambavyo movie ilikolea
ngoja nende
Na watawashwa sana!!wafuge kucha kabisa za kutumbulia vijipu uchungu!Nenda mwenzangu kaone watu wanavyowashwa!
Jamani sisi wote ni Familia moja mbona tunaleteana majungu kiasi hiki? Wewe mwanzo umejifanya mtoto humu bado bikra sasa saa hizi unataka kuvuruga ya wenzako.
kunani South Africa au ndo mnafata ...
Kusema ukweli hii ndio best song yangu katika nyimbo za Kiba, huyu jamaa ni noumer.
Back to my offer angalia online ratiba ya movie nzuri weend hii halafu select timetable.
Wenye wivu wajinyonge najuwa yanapita hapa kimyakimya kama mabundi.
Kule Ig team ndomo wanatukana matusi utadhani wameahidiwa mbingu!!
Kweli nimeamini mtu akikazana kukwambia we una chuki ujue ye ndo anayo mara mia yako!
Kiba wauweeeee mfalme wauweeee
Ambulance zipo za kutoshaaa!!!
Yani sikutegemea kama wewe ni mkaanga sumu kiasi hiki!!
Naona umedhamiria unayapika na kuyapakuwa mwenyewe.