Ujinga alioufanya KIBA ambao hatousahau maishani ni kutoka na yule MADAME VIPAJI kimapenzi.
Pale ndo tulishuhudia poromoko lake kimuziki. Dogo alibemendwa.
Upuuzi mwingine ni kujivisha UKING ambao hajaufanyia kazi.
Amekaa kama miaka mi2, anakuja na single moja na UKING juu, kampa nani kwa kazi ipi?
Upuuzi mwingine ni ule uliotokea FIESTA, kuja na genge la wahuni kumzomea, HAPA NAWEZA SEMA WALE MASHABIKI WAKE WALIMPONZA. WAKISHINDWA KUELEWA KWAMBA DIAMOND HATISHIWI NYAU.
UPUUZI WA MWISHO NI FANS WAKE KTK MITANDAO KUMPA SIFA AMBAZO HAZISTAHILI.
MNAANZAJE KUMSHINDANISHA NA DIAMOND.?? GUYZ BE SERIOUS. MUACHENI AJIO ORGANIZE, APANGE MAMBO YAKE TARATIBU BILA PRESSURE ILI AJE NA VITU VYA UHAKIKA. ASISHINDANE KABISA NA DIAMOND , SI LEVEL ZAKE. ATAHARIBU ZAIDI.