Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Aje kulia? Hiyo haitotokea kamwe, atakuja kushangilia tu hapa. Maisha ya nifah ni wajibu wangu, namlea vizuri.
Ova

waaaaoooh! familia inayocheza pamoja daima hubaki kuwa pamoja, let the love lead
 
Last edited by a moderator:
na ndo maana alipata project ya one8
kwani kipindi kile si kulikua na wasanii wengi tu
enzi zake mbona ilitamba sana mack muga au hukuepo kipindi hichooo...?!!!
hata kama hamumpendi aly k isifike kila kitu mnakashifu tuuu jamaniiii
mnaonekana dhahiri kwamba utoto na roho mbaya zinawasumbua bora bas usikomment maana wengine tunatumia fake ids ila usemacho ndivyo ulivyoo

kwanza kiba amshukuru mungu sana kwani hili beef kati yake na mondi litamshep sana, yule kiba aliyesifiwaga na Rkelly kwenye one8 yule alivyorudi alipandishaga mabega juu nyodo juu na kujiona yeye ndio yeye, na sisi tumsifiaye sasa kuwa eti kiba hanaga majigambo tulimchanaga vibaya mno tena sana, na hivi hivi mnavyomsema mondi kuwa ananyodo, na kiba naye alisemwa sana, sema kipindi kile hizi smart phone zilikuwa hazijaingiaga za kusambaza sumu kiasi hiki.
alafu kitu kingine Geneviros wangu sio kila amkosowaye kiba anamchukia, ukweli ni kwamba, he is not giving his best, but he want to claim to be the best, with the coverage of talent, YES anakipaji tena haswaa, mondi atasubiri, lakini je?? kwanini haoneshi uwezo wake??? apige kazi kwanza watu tuione, kitu ambacho nyie hamtaki kukubaliana nacho. nyie mnachotaka ni wote tuseme kiba anakimbiza ili hali sio kweli, na ikafika pahala akakimbiza kweli walaa sina hiyana makofi yake nitampa.
 
Last edited by a moderator:
na ndo maana alipata project ya one8
kwani kipindi kile si kulikua na wasanii wengi tu
enzi zake mbona ilitamba sana mack muga au hukuepo kipindi hichooo...?!!!
hata kama hamumpendi aly k isifike kila kitu mnakashifu tuuu jamaniiii
mnaonekana dhahiri kwamba utoto na roho mbaya zinawasumbua bora bas usikomment maana wengine tunatumia fake ids ila usemacho ndivyo ulivyoo

unataka nimsifie kiba kwa kazi ya one8??? ofcoz not now coz sifa zake alizipata na ndio wengi wetu tulizidi kumfahamia pale, vipi wewe, nioneshe ulipomsifia daimond kwa kazi zake za sasa?? tuanzie hapo kwanza, ndio urudi kuniambia mimi nina roho mbaya.

nikuambie kitu wangu tufikie pahala sasa sisi tujiitao mashabiki tukubali kuwasupport wote, sio kiba na mondi tuu na wengine wote, manake mwisho wa siku burudani twapewa sisi, nadhani hilo ndio la msingi kwa sasa. lakini tukiendelea na hii ya kiba miaka 800 daimond mr. nice anamsubiri, na mimi nitasema daimond miaka 900 kiba hatoboi.na wote tunaonekana tuyasemayo ndivyo tulivyo kumbe ushabiki tu usiokuwa na tija.
 
. .haya tangu mwana itoke video mpaka sasa hivi bado haijatoka. ...

Coming Soon.....
10500542_296592743870582_8360881398049166525_n.jpg

10250260_387013418123424_5611899542937183376_n.jpg
 
Matola na geniveros naona leo walikua wanadeal na yule pashkuna first class amewaandikia magazeti mareeeefu mpaka huruma na bado!!Mwana tuuu maneno mengi kama report ya budget je ikitoka ngoma nyinginee!?
 
Matola na geniveros naona leo walikua wanadeal na yule pashkuna first class amewaandikia magazeti mareeeefu mpaka huruma na bado!!Mwana tuuu maneno mengi kama report ya budget je ikitoka ngoma nyinginee!?


mie ndio huwa cna muda kabisaaa na hayo mambo mama
 
Diamond analipwa awards sasa kutokana na dawa za kulevya alizowasaidia kusafirisha. Awards hazitolewi hivi hivi, kwa nyimbo gani za diamond??? Mdogo mdogo?? That ----!!?
 
Ujinga alioufanya KIBA ambao hatousahau maishani ni kutoka na yule MADAME VIPAJI kimapenzi.

Pale ndo tulishuhudia poromoko lake kimuziki. Dogo alibemendwa.

Upuuzi mwingine ni kujivisha UKING ambao hajaufanyia kazi.

Amekaa kama miaka mi2, anakuja na single moja na UKING juu, kampa nani kwa kazi ipi?

Upuuzi mwingine ni ule uliotokea FIESTA, kuja na genge la wahuni kumzomea, HAPA NAWEZA SEMA WALE MASHABIKI WAKE WALIMPONZA. WAKISHINDWA KUELEWA KWAMBA DIAMOND HATISHIWI NYAU.

UPUUZI WA MWISHO NI FANS WAKE KTK MITANDAO KUMPA SIFA AMBAZO HAZISTAHILI.

MNAANZAJE KUMSHINDANISHA NA DIAMOND.?? GUYZ BE SERIOUS. MUACHENI AJIO ORGANIZE, APANGE MAMBO YAKE TARATIBU BILA PRESSURE ILI AJE NA VITU VYA UHAKIKA. ASISHINDANE KABISA NA DIAMOND , SI LEVEL ZAKE. ATAHARIBU ZAIDI.
 
Tatizo lenu FANS wa ALLY KIBA, NARUDIA TENA, Acheni kumshindanisha Ally kiba na Diamond.

Hawezi ucheza huo mziki. Just stop it. Afanye yake taratibu na wala asimuwazie DIAMOND.

DIAMOND SASA ANAFOCUS INTERNATIONALY. KIBA BADO YUPO LOCAL.

So fanyeni yenu at LOCAL level., That u can manage,, mtamkamua dogo utumbo.
 
Back
Top Bottom