sasa wewe ulifungua huu uzi kwa ajli ya ali au lemutuz?
Abdu kiba yupo aggrey kariakoo anauza simu used
Bora Abdul Kiba yupo kariakoo anafanya biashara halali kuliko wewe upo kwa shemeji yako kutwa kuchwa upo na pc yake,unalala bure unakula bure,unajaza choo tuu!!kazi huna,elim ilikushinda,demu huna sio rizik!likikugusa ndo wewe muhusika!!
Asubuh njema Teamkiba atoto nimeona mashoga wamevamia umu !!
Ukubwa na ukuaji wa akili. NI PAMOJA NA KUKUBALI USHAURI MZURI UNAOPEWA.
KIBA ALIJIPOTEZA MWENYEWE, NA ALIONGEA SANA KARIBU KTK KILA INTERVIEW KWAMBA ALIKUA AKIMSAIDIA MDOGO WAKE ATOKE, ABDU KIBA.
HUYO ABDU KIBA YUKO WAP? ANAFANYA NIN? HITI ZAKE ZI WAP?
THEREFORE HE WAS BUSY TIME FOR NOTHNG....
SASA AMEREJEA ANATAKA KIMBIA MARATHON WAKAT AMETOKA MBIO ZA MCHANGANI. WHERE ON EARTH.
ADVICE HIM TO KEEP TO HIS PACE.

Hao manguchiro walitaka huko SA aende mwafulenge peke yake?watasema amegundua aeroplane,hotels na all the fancy things!!Shamee!!Watu wasipige kazi zao,wasiende abroad?kisa flan kaenda pia!!haa ana hatimiliki na kila kitu chema??Mwishowe watasema aligundua na papuchi!!

Ingekua ya ajabu ajabu ingewatoa povu kiasi iko!!Mnamwogopa kiba kama Kirusi cha Ebola!!Kutwa kuchwa mnaweweseka naye!!hawa watu wana roho ngumu sana hawakubali kabisa kuwa domo.ni habari nyingine hapa tz na Africa now huwezi kulinganisha ka single kamoja ka ajabu ajabu na big heat za domo
Abdu kiba yupo aggrey kariakoo anauza simu used
king wenu lazima afanye anayofanya domo ili afanikiweHao manguchiro walitaka huko SA aende mwafulenge peke yake?watasema amegundua aeroplane,hotels na all the fancy things!!Shamee!!Watu wasipige kazi zao,wasiende abroad?kisa flan kaenda pia!!haa ana hatimiliki na kila kitu chema??Mwishowe watasema aligundua na papuchi!!
Unampendelea Nasra yeye ndo kaanza matusi au una upofu!!King wetu very CREATIVE!!swali king wao ni ana akili kichwani au ? matusi hayamusaidiii kipi kiba amefanya kwenye music industry... wenye akili tu ndio tunajua salute mkuuu
------- mkubwa wewe!!say what una mademu wangap?misifa tu kama domo lenu!!Mwanaume una maneno kuliko bi kiroboto!,Nasra mkubwa wee!!
Jamaa wabish kama pilipili kichaahawa watu wana roho ngumu sana hawakubali kabisa kuwa domo.ni habari nyingine hapa tz na Africa now huwezi kulinganisha ka single kamoja ka ajabu ajabu na big heat za domo
Service,usinichoshe nisikuchoshe!unless otherwise una lako jambo!To me Kiba is the best,I don't want to dispute on that!swali king wanu ni ana akili kichwani ? kama zipo kwanini? hataki kubadilika ?
why hawezi kubadilika accordingly to time anang'aninia mambo ya kizamani. hivi wewe unafikiri bila diamonds alikiba angefanya revolution yeyote kimuziki kwanini una prefer kuleta porojo badala ya fact ...nikupe reference dogo "kanumba and ray " bila dia alikiba hatoki huko mafichoni aliko mkuu....
au ? matusi hayakusaidii kipi kiba
amefanya kwenye music industry...
wenye akili tu ndio tunajua salute
mkuuu
------- mkubwa wewe!!say what una mademu wangap?misifa tu kama domo lenu!!Mwanaume una maneno kuliko bi kiroboto!,Nasra mkubwa wee!!