Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Asubuh njema Teamkiba atoto nimeona mashoga wamevamia umu !!
 
Attachments

  • 1417766388032.jpg
    1417766388032.jpg
    50.9 KB · Views: 54
Last edited by a moderator:
Bora Abdul Kiba yupo kariakoo anafanya biashara halali kuliko wewe upo kwa shemeji yako kutwa kuchwa upo na pc yake,unalala bure unakula bure,unajaza choo tuu!!kazi huna,elim ilikushinda,demu huna sio rizik!likikugusa ndo wewe muhusika!!

Jaman Ms.Lincoln
 
Last edited by a moderator:
Asubuh njema Teamkiba atoto nimeona mashoga wamevamia umu !!

Hao manguchiro walitaka huko SA aende mwafulenge peke yake?watasema amegundua aeroplane,hotels na all the fancy things!!Shamee!!Watu wasipige kazi zao,wasiende abroad?kisa flan kaenda pia!!haa ana hatimiliki na kila kitu chema??Mwishowe watasema aligundua na papuchi!!
 
Last edited by a moderator:
Ukubwa na ukuaji wa akili. NI PAMOJA NA KUKUBALI USHAURI MZURI UNAOPEWA.

KIBA ALIJIPOTEZA MWENYEWE, NA ALIONGEA SANA KARIBU KTK KILA INTERVIEW KWAMBA ALIKUA AKIMSAIDIA MDOGO WAKE ATOKE, ABDU KIBA.

HUYO ABDU KIBA YUKO WAP? ANAFANYA NIN? HITI ZAKE ZI WAP?

THEREFORE HE WAS BUSY TIME FOR NOTHNG....

SASA AMEREJEA ANATAKA KIMBIA MARATHON WAKAT AMETOKA MBIO ZA MCHANGANI. WHERE ON EARTH.

ADVICE HIM TO KEEP TO HIS PACE.

hawa watu wana roho ngumu sana hawakubali kabisa kuwa domo.ni habari nyingine hapa tz na Africa now huwezi kulinganisha ka single kamoja ka ajabu ajabu na big heat za domo
 
Ha ha ha kwahyo asitoe nyimbo nyingine kwa sababu alikua kimya na asikimbie marathon kwani yeye anatoa nyimbo kushindana na mtu acha vituko atatoa tu nyimbo bora yeye katoka mchangani hadi kuwa hero na raha ya mbio kumalizia kuwa mshindi popote alipo nyimbo atatoa tu vzuri and haters gonna bounce this time teh teh The king is back
 
Hao manguchiro walitaka huko SA aende mwafulenge peke yake?watasema amegundua aeroplane,hotels na all the fancy things!!Shamee!!Watu wasipige kazi zao,wasiende abroad?kisa flan kaenda pia!!haa ana hatimiliki na kila kitu chema??Mwishowe watasema aligundua na papuchi!!

Kwanza jamaa ayupo S.A
Pili wanadai anamuiga Domo
Wamesahau kipindi mac mugga inatoka video ilipgwa south na kipndi hicho domo alikua anauza ndala karume

Wamesahau Mali yangu imepgwa USA

Tatzo awa watoto wameujua mziki Jana baada ya kupata Tecno za kununua mikononi kwa watu elfu kumi ndomana wanaropoka

Kiba kaanza kwenda mbele then Tandale akafata Jana

Wait collabo na mmarekani
 
Hao manguchiro walitaka huko SA aende mwafulenge peke yake?watasema amegundua aeroplane,hotels na all the fancy things!!Shamee!!Watu wasipige kazi zao,wasiende abroad?kisa flan kaenda pia!!haa ana hatimiliki na kila kitu chema??Mwishowe watasema aligundua na papuchi!!

Dah ukweli mtupu eti asifanye kwa sababu mtu flani anafanya watajutraaa mwaka huu si walisema hana hela wameona anaanza Ku shoot wanalia lia uku papuchi aigundulie wapi huyo mdomo wa mamba wamwache Kiba miaka mia
 
hawa watu wana roho ngumu sana hawakubali kabisa kuwa domo.ni habari nyingine hapa tz na Africa now huwezi kulinganisha ka single kamoja ka ajabu ajabu na big heat za domo
Ingekua ya ajabu ajabu ingewatoa povu kiasi iko!!Mnamwogopa kiba kama Kirusi cha Ebola!!Kutwa kuchwa mnaweweseka naye!!
 
Hao manguchiro walitaka huko SA aende mwafulenge peke yake?watasema amegundua aeroplane,hotels na all the fancy things!!Shamee!!Watu wasipige kazi zao,wasiende abroad?kisa flan kaenda pia!!haa ana hatimiliki na kila kitu chema??Mwishowe watasema aligundua na papuchi!!
king wenu lazima afanye anayofanya domo ili afanikiwe
kwenye engineering design tuna aina nyingi za design mojawapo moja wapo ni copy and paste"adaptive design" ndicho anachofanya kiba ni hahitaji hata kufanya modifications dia angekuwa na copyright ilibidi amshitaki ,then aina.hii haitaji critical thinking "only training and simple design ability"""
hivyo basi diamonds anafanya new design wakati king hana imagination power ya kufanya hivyo lazima a copy na Ku paste bila hivyo his complete deaddddd!!!!!!
 
swali king wao ni ana akili kichwani au ? matusi hayamusaidiii kipi kiba amefanya kwenye music industry... wenye akili tu ndio tunajua salute mkuuu
Unampendelea Nasra yeye ndo kaanza matusi au una upofu!!King wetu very CREATIVE!!
 
we mwana wewe mwana, mwana jeuri sana.........
 
------- mkubwa wewe!!say what una mademu wangap?misifa tu kama domo lenu!!Mwanaume una maneno kuliko bi kiroboto!,Nasra mkubwa wee!!

swali king wanu ni ana akili kichwani ? kama zipo kwanini? hataki kubadilika ?
why hawezi kubadilika accordingly to time anang'aninia mambo ya kizamani. hivi wewe unafikiri bila diamonds alikiba angefanya revolution yeyote kimuziki kwanini una prefer kuleta porojo badala ya fact ...nikupe reference dogo "kanumba and ray " bila dia alikiba hatoki huko mafichoni aliko mkuu....
au ? matusi hayakusaidii kipi kiba
amefanya kwenye music industry...
wenye akili tu ndio tunajua salute
mkuuu
 
hawa watu wana roho ngumu sana hawakubali kabisa kuwa domo.ni habari nyingine hapa tz na Africa now huwezi kulinganisha ka single kamoja ka ajabu ajabu na big heat za domo
Jamaa wabish kama pilipili kichaa
 
hahaaaaaa!!!!!!nicheke mie niongeze cku za kuishi, hivi kwahiyo kila mtu akifanya yake eti anashindana na mtu!!!
Na mumuache Kiba apumue afanye yake kwa raha zake lini aliwaambia anashindana na mtu??? Mbona mwatokwa roho hivyo kisa Kiba?? wasanii kibao tz hujafungwa kumshabikia kiba ebo!!!
 
swali king wanu ni ana akili kichwani ? kama zipo kwanini? hataki kubadilika ?
why hawezi kubadilika accordingly to time anang'aninia mambo ya kizamani. hivi wewe unafikiri bila diamonds alikiba angefanya revolution yeyote kimuziki kwanini una prefer kuleta porojo badala ya fact ...nikupe reference dogo "kanumba and ray " bila dia alikiba hatoki huko mafichoni aliko mkuu....
au ? matusi hayakusaidii kipi kiba
amefanya kwenye music industry...
wenye akili tu ndio tunajua salute
mkuuu
Service,usinichoshe nisikuchoshe!unless otherwise una lako jambo!To me Kiba is the best,I don't want to dispute on that!
 
------- mkubwa wewe!!say what una mademu wangap?misifa tu kama domo lenu!!Mwanaume una maneno kuliko bi kiroboto!,Nasra mkubwa wee!!

Achana na Nasra bwana kapaniki tu hadi mapovu yanamtoka baada ya kuona the king ana shoot mpotezee huyo please
 
Back
Top Bottom