Ms.Lincoln kumbuka hata wewe hapo ulipo until now huko happy sababu king kachelewesha video je huoni kuwa kuna salt za uzembe au kuto jua hapo ? mpaka mashabiki wanaamua kumusimamisha kiba lakin the boy is in darkness any way labda now ata stand ...Unampendelea Nasra yeye ndo kaanza matusi au una upofu!!King wetu very CREATIVE!!
Huoni kuwa na jamaa zako wana vimbelembele utadhani pilipili kichaa imedumbukizwa kunako!!Sisi tumemchagua Kiba,ninyi hamjamchagua tatizo nini?Unakaribishwa kumkosoa kwa adabu ukijitoa akili utakutana na pilipili,well said!Kiba rocks once again!Jamaa wabish kama pilipili kichaa
Service,usinichoshe nisikuchoshe!unless otherwise una lako jambo!To me Kiba is the best,I don't want to dispute on that!
Pitia page kwa umakini bila kutetemeka uone tulivomshauri!Kuna good thing inakuja mbele sasa kama tumesubiri miaka yote hiyo 'the countdown' itatushinda nini?Hayupo on darkness wait and see Mkuu!Ms.Lincoln kumbuka hata wewe hapo ulipo until now huko happy sababu king kachelewesha video je huoni kuwa kuna salt za uzembe au kuto jua hapo ? mpaka mashabiki wanaamua kumusimamisha kiba lakin the boy is in darkness any way labda now ata stand ...
swali king wanu ni ana akili kichwani ? kama zipo kwanini? hataki kubadilika ?
why hawezi kubadilika accordingly to time anang'aninia mambo ya kizamani. hivi wewe unafikiri bila diamonds alikiba angefanya revolution yeyote kimuziki kwanini una prefer kuleta porojo badala ya fact ...nikupe reference dogo "kanumba and ray " bila dia alikiba hatoki huko mafichoni aliko mkuu....
au ? matusi hayakusaidii kipi kiba
amefanya kwenye music industry...
wenye akili tu ndio tunajua salute
mkuuu
Service,unafurahishwa na swala la fans wa Dai kutu attack kwa matusi afu sie tunyamaze!Noo kwa kweli siwez kumkalia kimya mwehu mmoj!!They are our artists,kunapokua na ushindani lazima kuwe na ushabiki,ushabiki ni kuheshimiana kutovuka mipaka!!Kila siku wapo huku kuleta chokochoko!!y?Bicoz Kiba ni threat kwao!Okay mkuu hata mimi pia namkuba dai na kiba pia ila poa tu kiba abadilike mziki uende mbali.
Service,unafurahishwa na swala la fans wa Dai kutu attack kwa matusi afu sie tunyamaze!Noo kwa kweli siwez kumkalia kimya mwehu mmoj!!They are our artists,kunapokua na ushindani lazima kuwe na ushabiki,ushabiki ni kuheshimiana kutovuka mipaka!!Kila siku wapo huku kuleta chokochoko!!y?Bicoz Kiba ni threat kwao!
Kama wewe ni legend wa hapa javini utakumbuaka wakati huu Uzi unaanza nini kilikuwa kinazungumuziwa ,hahaaaaaa!!!!!!nicheke mie niongeze cku za kuishi, hivi kwahiyo kila mtu akifanya yake eti anashindana na mtu!!!
Na mumuache Kiba apumue afanye yake kwa raha zake lini aliwaambia anashindana na mtu??? Mbona mwatokwa roho hivyo kisa Kiba?? wasanii kibao tz hujafungwa kumshabikia kiba ebo!!!
Mbona umenisahau bibie?Kijiji hakikosi wazee....am back!actualy this is our home and we disscuss werever we like alafuuuu tushakuwa family u know all coz of kiba, sasa wewe km unaona tunayoongelea au kufanya yanakukwaza pita tu, well lovely family wapi Diva Beyonce Ms.Lincoln nifah Matola geniveros Avemaria Mdakuzi container Abou Saydou na wooote ambao cjawataja, long live our KING KIBA
jaribu kuwa mstaarabu ndg.....huku ni uwanja wa vijana na wazee wastaarabu!Unaruhusiwa kushauri but matusi,kejeli mwisho tandale!dar es salaam kila mtu Ally Kibahahaha hoja huna sasa mimi kujibu kuwa abdu kiba anauza simu used ndo uniporomoshee mawe au ulitaka niseme anamsaidia mama'ake kupika vitumbua ndio roho yako usuhuzike!hakuna mwenye PHD ya matusi ww ila kila mtu anayaweza
Hahahahh kweli mkuu lazima zitokeee contradiction nyingi na mihemuko tofauti ....hapo "it is illegal to punish some one but i don't say it is illegal when it is my self defence"Service,unafurahishwa na swala la fans wa Dai kutu attack kwa matusi afu sie tunyamaze!Noo kwa kweli siwez kumkalia kimya mwehu mmoj!!They are our artists,kunapokua na ushindani lazima kuwe na ushabiki,ushabiki ni kuheshimiana kutovuka mipaka!!Kila siku wha huku kuleta chokochoko!!y?Bicoz Kiba ni threat kwao!
actualy this is our home and we disscuss werever we like alafuuuu tushakuwa family u know all coz of kiba, sasa wewe km unaona tunayoongelea au kufanya yanakukwaza pita tu, well lovely family wapi Diva Beyonce Ms.Lincoln nifah Matola geniveros Avemaria Mdakuzi container Abou Saydou na wooote ambao cjawataja, long live our KING KIBA
Mbona umenisahau bibie?Kijiji hakikosi wazee....am back!
hahaha hoja huna sasa mimi kujibu kuwa abdu kiba anauza simu used ndo uniporomoshee mawe au ulitaka niseme anamsaidia mama'ake kupika vitumbua ndio roho yako usuhuzike!hakuna mwenye PHD ya matusi ww ila kila mtu anayaweza
jaribu kuwa mstaarabu ndg.....huku ni uwanja wa vijana na wazee wastaarabu!Unaruhusiwa kushauri but matusi,kejeli mwisho tandale!dar es salaam kila mtu Ally Kiba