Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Unampendelea Nasra yeye ndo kaanza matusi au una upofu!!King wetu very CREATIVE!!
Ms.Lincoln kumbuka hata wewe hapo ulipo until now huko happy sababu king kachelewesha video je huoni kuwa kuna salt za uzembe au kuto jua hapo ? mpaka mashabiki wanaamua kumusimamisha kiba lakin the boy is in darkness any way labda now ata stand ...
 
Last edited by a moderator:
Service,usinichoshe nisikuchoshe!unless otherwise una lako jambo!To me Kiba is the best,I don't want to dispute on that!

Okay mkuu hata mimi pia namkuba dai na kiba pia ila poa tu kiba abadilike mziki uende mbali.
 
Ms.Lincoln kumbuka hata wewe hapo ulipo until now huko happy sababu king kachelewesha video je huoni kuwa kuna salt za uzembe au kuto jua hapo ? mpaka mashabiki wanaamua kumusimamisha kiba lakin the boy is in darkness any way labda now ata stand ...
Pitia page kwa umakini bila kutetemeka uone tulivomshauri!Kuna good thing inakuja mbele sasa kama tumesubiri miaka yote hiyo 'the countdown' itatushinda nini?Hayupo on darkness wait and see Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
swali king wanu ni ana akili kichwani ? kama zipo kwanini? hataki kubadilika ?
why hawezi kubadilika accordingly to time anang'aninia mambo ya kizamani. hivi wewe unafikiri bila diamonds alikiba angefanya revolution yeyote kimuziki kwanini una prefer kuleta porojo badala ya fact ...nikupe reference dogo "kanumba and ray " bila dia alikiba hatoki huko mafichoni aliko mkuu....
au ? matusi hayakusaidii kipi kiba
amefanya kwenye music industry...
wenye akili tu ndio tunajua salute
mkuuu

hawawezi kukuelewa labda waje kuambiwa na roho mtakatifu
 
Okay mkuu hata mimi pia namkuba dai na kiba pia ila poa tu kiba abadilike mziki uende mbali.
Service,unafurahishwa na swala la fans wa Dai kutu attack kwa matusi afu sie tunyamaze!Noo kwa kweli siwez kumkalia kimya mwehu mmoj!!They are our artists,kunapokua na ushindani lazima kuwe na ushabiki,ushabiki ni kuheshimiana kutovuka mipaka!!Kila siku wapo huku kuleta chokochoko!!y?Bicoz Kiba ni threat kwao!
 
hahaha hoja huna sasa mimi kujibu kuwa abdu kiba anauza simu used ndo uniporomoshee mawe au ulitaka niseme anamsaidia mama'ake kupika vitumbua ndio roho yako usuhuzike!hakuna mwenye PHD ya matusi ww ila kila mtu anayaweza
 
hahaaaaaa!!!!!!nicheke mie niongeze cku za kuishi, hivi kwahiyo kila mtu akifanya yake eti anashindana na mtu!!!
Na mumuache Kiba apumue afanye yake kwa raha zake lini aliwaambia anashindana na mtu??? Mbona mwatokwa roho hivyo kisa Kiba?? wasanii kibao tz hujafungwa kumshabikia kiba ebo!!!
Kama wewe ni legend wa hapa javini utakumbuaka wakati huu Uzi unaanza nini kilikuwa kinazungumuziwa ,
1.lengo la uzi ilikuwa kumshauri kiba apige hatua kimuziki .then uzi ukabadilika ukawa "discussion and argument" mpaka sasa ndio kinachoendelea hapa who is correct and wrong ? ukubali ukatae kiba anafanya muziki ashindane na diamond "na diamond the same anafanya hivyo hivyo kumbuka hatukati kushindana "development is due to ideas that contradict " wale professional wa general study mtani ni correct if am wrong " ......ila je kiba is best than diamond that is the question of interest ?
 
Atoto nipo mama!!Kiba anatoa video watu bado wanmkandia najua na video itakandiwa tu hata kama angeitolea mwezini!!Kuna video ya jayz nmeisahau jina,kaita fans wake wamesimama simama pale kitu kikakamilika,lakin still fans wake wanaipenda!!Nakwambia hii video itaua watu!!
 
hahaha hoja huna sasa mimi kujibu kuwa abdu kiba anauza simu used ndo uniporomoshee mawe au ulitaka niseme anamsaidia mama'ake kupika vitumbua ndio roho yako usuhuzike!hakuna mwenye PHD ya matusi ww ila kila mtu anayaweza
jaribu kuwa mstaarabu ndg.....huku ni uwanja wa vijana na wazee wastaarabu!Unaruhusiwa kushauri but matusi,kejeli mwisho tandale!dar es salaam kila mtu Ally Kiba
 
Service,unafurahishwa na swala la fans wa Dai kutu attack kwa matusi afu sie tunyamaze!Noo kwa kweli siwez kumkalia kimya mwehu mmoj!!They are our artists,kunapokua na ushindani lazima kuwe na ushabiki,ushabiki ni kuheshimiana kutovuka mipaka!!Kila siku wha huku kuleta chokochoko!!y?Bicoz Kiba ni threat kwao!
Hahahahh kweli mkuu lazima zitokeee contradiction nyingi na mihemuko tofauti ....hapo "it is illegal to punish some one but i don't say it is illegal when it is my self defence"
 
actualy this is our home and we disscuss werever we like alafuuuu tushakuwa family u know all coz of kiba, sasa wewe km unaona tunayoongelea au kufanya yanakukwaza pita tu, well lovely family wapi Diva Beyonce Ms.Lincoln nifah Matola geniveros Avemaria Mdakuzi container Abou Saydou na wooote ambao cjawataja, long live our KING KIBA

Watuache tukae bwana eeh tuna discuss tutakacho wasitupangie cha kufanya tangia waone mambo ya Kiba eti wanatufundisha toka lini mwaka huu watachambia sime Ali Kiba forever
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa!!! nyie ndio mliotuvurugia uzi alafu mlitaka tukae tu kimya tukiwaangalia?? too much of everything is harmfull thats why mnajibiwa kwa jinsi mnavyojileta, mlitaka mtupande vichwani et!!! alaaa na mtupishe hebu
 
hahaha hoja huna sasa mimi kujibu kuwa abdu kiba anauza simu used ndo uniporomoshee mawe au ulitaka niseme anamsaidia mama'ake kupika vitumbua ndio roho yako usuhuzike!hakuna mwenye PHD ya matusi ww ila kila mtu anayaweza

Nilikuqote wewe!ukaanza kuvurumisha mawe!!Siwezi kujisifu matusi kama kawaida yenu!!I don't care whether iuna PHD ya matusi au ya ngono!!Hoja yangu inabaki pale pale Kiba is the best!!Mwache Abdul auze sim used ila video ya mwana is on its way!
 
jaribu kuwa mstaarabu ndg.....huku ni uwanja wa vijana na wazee wastaarabu!Unaruhusiwa kushauri but matusi,kejeli mwisho tandale!dar es salaam kila mtu Ally Kiba

Asante kwa kumwambia kweli itamuweka huru tu hawa wanajisahau sana ushabiki wa kawaida wanaweka matusi ha ha ha ha kejeli mwisho Tandale mjini kila mtu Ali Kiba the King
 
Back
Top Bottom