Ali Kiba Fans' Special Thread...

Foleni ya Upanga leo ijumaa imenikata stimu saa nzima natafuta kuchepuka nikitulia nitarudi hapa kuwashikisha adabu visabengo wote.

Huwa siendi kabisa hilo eneo, hasa JK anapokuwa TZ. Pata picha yeye anasali Upanga na mkewe anasali Kinondoni. Wanatoka Ikulu kwa wakati mmoja na wote wanaingia Upanga yenye vibarabara vyembamba. Pole sana mkuu.
Ova
 
Mkuu kunawalimu wangu walifundisha kusoma na kuandika lakin Leo hii mimi nina jiwe lakin wao.bado wana diploma mkuu ..so kufundishwa it doesn't mean kwamba utakuwa downstream kwa hule alikufundisha hivi mkuu huoni kuwa diamond anamafanikia kimuziki kuliko alikiba jamaaa mbona haya mambo yako wazi hayahitaji degree tatu za lemburazzz to identify it...
 
in this world games never end, sema episod1 imeisha, hahaaaa(nimethema tu kaaaah)

Hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo,what I know is Mdakuzi is all mine,now and forever...
 
Last edited by a moderator:
Huwa siendi kabisa hilo eneo, hasa JK anapokuwa TZ. Pata picha yeye anasali Upanga na mkewe anasali Kinondoni. Wanatoka Ikulu kwa wakati mmoja na wote wanaingia Upanga yenye vibarabara vyembamba. Pole sana mkuu.
Ova

We acha tu nimepenyapenya ndio nipo Kino natweta hapa.
 

Learning means to secure knowledge and using it beyond the limit ....
 

Nadhani hujaielewa hiyo sehemu, nakushauri uirudie tena kuisoma kwa utulivu kisha utoe tafakuri yako. Ungeelewa usingemtaja Bushoke ambaye hana wimbo ulio kwenye chart za stations.
Sijaona kwanini hukubaliani nami, ndio maana nasema hujaelewa ulichokisoma, nimesema moja ya mafanikio ni kujiendeleza kiuchumi kupitia muziki, sasa si ndio hayo mambo ya albums na mikataba iliyotokana na music jamani?
Tuzo sio kipimo cha mwanamuziki bora, ni pongezi. Tuzo sio kama matokeo ya darasani, ila ni kikundi cha watu wanaamua ni nani wa kumpa Tuzo fulani kulingana na vigezo vyao.
Kama hivyo Nassib kapata Tuzo ya mwanamuziki chipukizi, wakati sisi tunajua kama yeye sio chipukizi kama Mo music aliyeimba Basi Nenda.
Utampimaje Nassib kwa kupata Tuzo za video ya muziki ambayo yeye alikuwa akielekezwa tu cha kufanya na director wa video? CHOAMVA hawaangalii unaimba kiasi gani au unaandika kiasi gani.
Pale wameangalia ubora wa video kwa vigezo vyao ambavyo sisi hatuna nafasi ya kujua, sasa jiulize kwa tuzo zile tumpime kwa ubora Nassib au Ogopa DJ's ya Kenya waliotengeza video ya wimbo uliopata Tuzo zote tatu?
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…