Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Foleni ya Upanga leo ijumaa imenikata stimu saa nzima natafuta kuchepuka nikitulia nitarudi hapa kuwashikisha adabu visabengo wote.

Huwa siendi kabisa hilo eneo, hasa JK anapokuwa TZ. Pata picha yeye anasali Upanga na mkewe anasali Kinondoni. Wanatoka Ikulu kwa wakati mmoja na wote wanaingia Upanga yenye vibarabara vyembamba. Pole sana mkuu.
Ova
 
Hii ni kauli inaweza kutoka tu kwa mtu asiyejua Historia ya kimuziki ya Diamond, yaani Kiba anafanya muziki kushindana na mtu ambaye alitoa ruhusa arekodi wimbo wake wa kwanza? Ashindane na mtu ambaye alikuwa anasikiza kazi yake na kumwambia hapa umefanya vizuri, pia fanya hivi na hivi ili iwe nzuri zaidi au usifanye hivi utaiharibu?
Kiba anafanya muziki kwa kuwa yeye ni mwanamuziki, kwa kuwa anajua kuandika nyimbo kali na ana sauti nzuri ya kuimbia.
Ova
Mkuu kunawalimu wangu walifundisha kusoma na kuandika lakin Leo hii mimi nina jiwe lakin wao.bado wana diploma mkuu ..so kufundishwa it doesn't mean kwamba utakuwa downstream kwa hule alikufundisha hivi mkuu huoni kuwa diamond anamafanikia kimuziki kuliko alikiba jamaaa mbona haya mambo yako wazi hayahitaji degree tatu za lemburazzz to identify it...
 
in this world games never end, sema episod1 imeisha, hahaaaa(nimethema tu kaaaah)

Hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo,what I know is Mdakuzi is all mine,now and forever...
 
Last edited by a moderator:
Huwa siendi kabisa hilo eneo, hasa JK anapokuwa TZ. Pata picha yeye anasali Upanga na mkewe anasali Kinondoni. Wanatoka Ikulu kwa wakati mmoja na wote wanaingia Upanga yenye vibarabara vyembamba. Pole sana mkuu.
Ova

We acha tu nimepenyapenya ndio nipo Kino natweta hapa.
 
Hii ni kauli inaweza kutoka tu kwa mtu asiyejua Historia ya kimuziki ya Diamond, yaani Kiba anafanya muziki kushindana na mtu ambaye alitoa ruhusa arekodi wimbo wake wa kwanza? Ashindane na mtu ambaye alikuwa anasikiza kazi yake na kumwambia hapa umefanya vizuri, pia fanya hivi na hivi ili iwe nzuri zaidi au usifanye hivi utaiharibu?
Kiba anafanya muziki kwa kuwa yeye ni mwanamuziki, kwa kuwa anajua kuandika nyimbo kali na ana sauti nzuri ya kuimbia.
Ova

Learning means to secure knowledge and using it beyond the limit ....
 
Mkuu natofautiana na wewe hapo kwenye manafanikio kimuziki lekebisha hapoo.hata mafanikio ya wasaniii wakubwa hupimwa na kipato alichopata kulingana na mauzo ya albums. Na mikataba mbalimbali na ma company kama hatuwezi.kuona vitu hivyo ni wazi haukumbaliki ndio maana kuna tuzo.pia hivi hupima msanii anakubalika kiasi gani.... Ni hayo mkuu mfano huwezi kusema bushoke anakubalika now ...

Nadhani hujaielewa hiyo sehemu, nakushauri uirudie tena kuisoma kwa utulivu kisha utoe tafakuri yako. Ungeelewa usingemtaja Bushoke ambaye hana wimbo ulio kwenye chart za stations.
Sijaona kwanini hukubaliani nami, ndio maana nasema hujaelewa ulichokisoma, nimesema moja ya mafanikio ni kujiendeleza kiuchumi kupitia muziki, sasa si ndio hayo mambo ya albums na mikataba iliyotokana na music jamani?
Tuzo sio kipimo cha mwanamuziki bora, ni pongezi. Tuzo sio kama matokeo ya darasani, ila ni kikundi cha watu wanaamua ni nani wa kumpa Tuzo fulani kulingana na vigezo vyao.
Kama hivyo Nassib kapata Tuzo ya mwanamuziki chipukizi, wakati sisi tunajua kama yeye sio chipukizi kama Mo music aliyeimba Basi Nenda.
Utampimaje Nassib kwa kupata Tuzo za video ya muziki ambayo yeye alikuwa akielekezwa tu cha kufanya na director wa video? CHOAMVA hawaangalii unaimba kiasi gani au unaandika kiasi gani.
Pale wameangalia ubora wa video kwa vigezo vyao ambavyo sisi hatuna nafasi ya kujua, sasa jiulize kwa tuzo zile tumpime kwa ubora Nassib au Ogopa DJ's ya Kenya waliotengeza video ya wimbo uliopata Tuzo zote tatu?
Ova
 
Mwana Dsm
 
Attachments

  • 1417778202247.jpg
    1417778202247.jpg
    22.7 KB · Views: 54
Back
Top Bottom