Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hivi jamani kama hali yenyewe ndiyo hii kabla video haijatoka watu wamechanganyikiwa hivi ikitoka je?
Balaa kubwa sana linakuja
 
Sikatai Nassbu ana impact kwenye music industry bila kupepesa macho hata wewe naamini unalifaham hili, kinachombeba dogo ni projects(mademu) pia hata management yake inajua sana kucheza na media!
Unatakiwa umpe heshima Ally Kiba coz amerudi kwenye gemu Nassb kajawa na hofu!Unajua kwann Nassib and co.wameingiwa na hofu?
Wanajuwa mfalme karudi....hata wewe ukimwona girl friend wako au Mkeo yuko na Ex-wake lazima uchanganyikiwe!
Unataka kunambia Ngasa,Msuva ,Singano au Chanongo ni bora kuliko Lunyamila?(sory OT)
 
Kha!umesahau mlivyokua mnadalaliana hapa?lol...Tena wewe ndio dalali mkuu

hahaaaa!! mie dalali tena jamani Ms.Lincoln hebu ukuje huku uone mambo yalivyobadlika eti naitwa dalali tena yotehaya umeyataka wewe
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani kama hali yenyewe ndiyo hii kabla video haijatoka watu wamechanganyikiwa hivi ikitoka je?
Balaa kubwa sana linakuja

yani balaaaaaa, wanajipa moyo tu ila hii kitu inawasumbua sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…