Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hivi jamani kama hali yenyewe ndiyo hii kabla video haijatoka watu wamechanganyikiwa hivi ikitoka je?
Balaa kubwa sana linakuja
 
Kwenye sembe tunajua hawa wasanii wetu hajulikani nan ni nan let stand on things that we can see hata kwa kupapasa I think tuko pamoja ...
Nakubalia na wewe kiba ni talented more than diamond ...... Free mind theory as per our agreements ...je hard working ya kiba iko wapi? ...je kujituma kwa diamond kupo wapi ? Where is creativity of kiba wapi? Ametumia his genus ability? Mim.naamini diamond ni medium talented je ?wewe unaweza kuona impact ya diamond. Kwenye music industry? free minded......tuendeleee.let keep only on fact that feelings Buku saba FC
Sikatai Nassbu ana impact kwenye music industry bila kupepesa macho hata wewe naamini unalifaham hili, kinachombeba dogo ni projects(mademu) pia hata management yake inajua sana kucheza na media!
Unatakiwa umpe heshima Ally Kiba coz amerudi kwenye gemu Nassb kajawa na hofu!Unajua kwann Nassib and co.wameingiwa na hofu?
Wanajuwa mfalme karudi....hata wewe ukimwona girl friend wako au Mkeo yuko na Ex-wake lazima uchanganyikiwe!
Unataka kunambia Ngasa,Msuva ,Singano au Chanongo ni bora kuliko Lunyamila?(sory OT)
 
Kha!umesahau mlivyokua mnadalaliana hapa?lol...Tena wewe ndio dalali mkuu

hahaaaa!! mie dalali tena jamani Ms.Lincoln hebu ukuje huku uone mambo yalivyobadlika eti naitwa dalali tena yotehaya umeyataka wewe
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani kama hali yenyewe ndiyo hii kabla video haijatoka watu wamechanganyikiwa hivi ikitoka je?
Balaa kubwa sana linakuja

yani balaaaaaa, wanajipa moyo tu ila hii kitu inawasumbua sn
 
Back
Top Bottom