si unajua tena unga robo......hapa stori kula kwenuuuuuuuuuuuuuuu!
bora yako ww....video ikitoka mtaa wa pili watapiga tikitaka huku wamevaa msuli!Hahahaaaa hiyo video itoke tu maana nahisi presha inataka kunishika
bora yako ww....video ikitoka mtaa wa pili watapiga tikitaka huku wamevaa msuli!
ha ha ha aaa!Hahahaaa wewe mtu mbona una vituko hivi?
Halafu msuli unamfunika hadi usoni....
Uwiiiiiii
ha ha ha aaa!
mbona wataisoma namba na hapo ndo watajua kwann supu haina ukoko.....
ha ha ha haaaaa!
inaonekana lunch yako leo ni kande kwa mlenda.......
ngoma ipi tena hyo???Hahahahaaa uwiiiiiii
Jamani!!!!nakumbuka ile ngoma uliyoniambia jana nacheka sana
Hahahaaa wewe mtu mbona una vituko hivi?
Halafu msuli unamfunika hadi usoni....
Uwiiiiiii
ngoma ipi tena hyo???
siunajua tena medula inapoteza gafla.......
ok mkuu!Ndio kwanza nipo town nahangaika Kocha @wabukusabafc
Ukimfunika Usoni tutaona Tezi dume
aah!nilielewa umesema uliyoniimbia?Kha!sasa wewe si utakua unasahau hata maneno ya kusema kwenye campaign?
Ngoma ya ritungu sijui
teh teh teh teh!tezi dume au kwa lugha ya kitaaalam inaitwa BushaUkimfunika Usoni tutaona Tezi dume
aah!nilielewa umesema uliyoniimbia?
hyo ngoma balaa tahadhari yake tu uwe na grease au kama waweza pata spea ya shingo!
ok mkuu!
siunajua kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake.......chakarika mkuu then una relax wit King songs!
huku kwetu hayo makitu hakuna.....sijui ingekuwaje uwe nalo then uende kuoga mtoni???Hahahahaaa jamani hua nawaonea huruma watu wenye hilo tatizo!!!
kama uko town (dsm) simaanishi tandale....tembelea kitunda u will see it!Hahahaaaa hapo kwenye grease ya shingo tu ndiko kunakonichekesha balaa...
I wish niione
kama uko town (dsm) simaanishi tandale....tembelea kitunda u will see it!
huku kwetu hayo makitu hakuna.....sijui ingekuwaje uwe nalo then uende kuoga mtoni???
kijiji kizima will be shocked,na hapo waweza zungurusha liboro fc kwa mabiti wote coz watakuwa wanakuja kukushagaa!ha ha ha aaaaaaaaaaaa
ofcoz!Saana king anafnya nisahau matatizo madogo madogo