Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hakukuwa na mwenye jibu la moja kwa moja baby wangu, ndio maana unaona nimekuwa kimya. Lakini ilifaa sana tuingize hapa usiku wa kuamkia siku ya kutoka kwake. Ili tuitazame kabla ya kesho yake kuchezwa kwenye Tv's Stations, ila dah ndo hivyo.
Ova
Mhhhh haya Matola itabidi amtafute Somji Juma sasa au wengine wajitokeze maana nilikua nakutegemea sana sasa sijui itakuaje!
Mimi nataka niicheki usiku kucha ikae kichwani scene zote bila kupoteza hata moja ili kesho yake nipambane vizuri na haters!!
Last edited by a moderator: