Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Hahahahahaaa nimecheka sana! Samahani baby wangu... Pole kwa kusahau, wajua nilikumbuka aliponisemesha tu.Uwiiiiii nawe si ungeniuliza kwanza kama nilifikisha?
Mwenzio nilisahau!!! 🙄🙄
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa nimecheka sana! Samahani baby wangu... Pole kwa kusahau, wajua nilikumbuka aliponisemesha tu.Uwiiiiii nawe si ungeniuliza kwanza kama nilifikisha?
Mwenzio nilisahau!!! 🙄🙄
Mhhhhh... Kiba jamani?
Napenda sana kile kipande alichoimba kwenye msambinungwa...
Ratiba yangu inaonesha kiba anapafom UK Leo but hakuna update yeyote toka kwake na kapost picha za show kahama
.any clarification?
Halafu alikiimba bila zile sauti zake za juu ambazo ndio silaha zake hadi R Kelly aliikubali, akasema ndio ianzishe ule wimbo wao waloimba pamoja.
Ova
Ova
Ratiba yangu inaonesha kiba anapafom UK Leo but hakuna update yeyote toka kwake na kapost picha za show kahama
.any clarification?
Ilikuwa kwenye 2010 au 2011 hivi.
Ova
Issue ya kwenda UK niliisikia, lakini show sikusikia kwa kweli.
Ova
Ratiba yangu inaonesha kiba anapafom UK Leo but hakuna update yeyote toka kwake na kapost picha za show kahama
.any clarification?
Dah...kitambo hicho yaani!
Lakini waliopiga naye juzijuzi wanaringaje?
Huyu jamaa kazidi usiri sasa!
Mambo ya zamani anapost leo,ya leo mwezi ujao....
Aarrrgghhh 😡😡