Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mhhhh haya Matola itabidi amtafute Somji Juma sasa au wengine wajitokeze maana nilikua nakutegemea sana sasa sijui itakuaje!
Mimi nataka niicheki usiku kucha ikae kichwani scene zote bila kupoteza hata moja ili kesho yake nipambane vizuri na haters!!

Lazma kna scene atakua amevaa gold kg 100 ucsahau mama
 
Last edited by a moderator:
Gold ya kilo Mia moja anaivaaje? Yaani ni sawa na kubeba gunia moja ya mchele/mahindi au mifuko miwili ya cement.
Ova

Hahahaaa halafu sikufikiria hili kabisa!Mimi niliconcentrate kwenye neno gold tu!
 
Ndio naamka wapendwa jana nilikuwa Nyama Choma Festival sijamuna @Ms Lincoln wala Diva Beyonce.
Over.
 
Last edited by a moderator:
unafkiii tu
 

Attachments

  • 1417959954911.jpg
    1417959954911.jpg
    35.6 KB · Views: 121
Back
Top Bottom