Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hakukuwa na mwenye jibu la moja kwa moja baby wangu, ndio maana unaona nimekuwa kimya. Lakini ilifaa sana tuingize hapa usiku wa kuamkia siku ya kutoka kwake. Ili tuitazame kabla ya kesho yake kuchezwa kwenye Tv's Stations, ila dah ndo hivyo.
Ova

Mhhhh haya Matola itabidi amtafute Somji Juma sasa au wengine wajitokeze maana nilikua nakutegemea sana sasa sijui itakuaje!
Mimi nataka niicheki usiku kucha ikae kichwani scene zote bila kupoteza hata moja ili kesho yake nipambane vizuri na haters!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mahaba nipofue....uwiiiiii
Hahahahahaaa! Mahaba nipofue, hapa mpaka mbavu zinauma nifah nini lakini unanichekesha hivi... Vilevile na mahaba nilaze macho na skype.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh haya Matola itabidi amtafute Somji Juma sasa au wengine wajitokeze maana nilikua nakutegemea sana sasa sijui itakuaje!
Mimi nataka niicheki usiku kucha ikae kichwani scene zote bila kupoteza hata moja ili kesho yake nipambane vizuri na haters!!
Ila kuingia humu itaingia tu hata kama tukishindwa kuiingiza kabla haijatoka kwenye TV's Stations.
Ova
 
Kwa kweli tutaona mengi!!msije mkarecordiana tyuuu!!Habari za jiooniiii!!ya chumbani yabaki chumbani haaa!!(Usinimeze)!

Heheheeee tatizo liko wapi mama?tulia angalia movie...
Wacha movie iendeleee....mwanzo tu huu
 
Heheheeee tatizo liko wapi mama?tulia angalia movie...
Wacha movie iendeleee....mwanzo tu huu
Ha ha ha!!mpaka sometimes njiuliza kama nimehack inbox ya mtu!!Bas makubwaaa!!
Ila tuu usikubali kurekodiwa shogaa!!siku mkinaniliu tutajutraaa!!
 
Ha ha ha!!mpaka sometimes njiuliza kama nimehack inbox ya mtu!!Bas makubwaaa!!
Ila tuu usikubali kurekodiwa shogaa!!siku mkinaniliu tutajutraaa!!

Hayo niachie mimi na Mdakuzi mama....jadili kilichokuleta hapa
 
Last edited by a moderator:
Mdakuzi baby...am out kuna kitu nafanya,naomba nikirudi nikute mapicha ya King Kiba hapa pleeeeeese!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nipo wangu, vipi dogo hajambo? Nimesikia uko busy unalea mgeni wetu kwanza... Hope ulipata salam zangu kwa nifah
Ova

Uwiiiiii nawe si ungeniuliza kwanza kama nilifikisha?
Mwenzio nilisahau!!! 🙄🙄
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom