Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nilipishana nae getini nikajua kiosk cha coca cola kimevaa shati kinatembea kucheck vizuri ndo nikagungua ni Le mutuz

Hahahahahaaaa jamani Muuza Sura una kusudi wewe!Naona umeleta jina jingine baada ya lile la SHATI LA LE MUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET!
Nakumbuka ulilileta wewe ndio likasambaa
 
I see mimi sikuwa na muda na midume, maana warembo jinsi walivyonyuka pamba za sumertime mpaka leo bado nachuwa shingo yangu na Volin maana ilikuwa haitulii afadhari hata ya feni.
 
I see mimi sikuwa na muda na midume, maana warembo jinsi walivyonyuka pamba za sometime mpaka leo bado nachuwa shingo yangu na Volin maana ilikuwa haitulii afadhari hata ya feni.

Mpwa acha tu mjini hapa kuna viumbe balaa. ..kuna kiumbe nilijiongeza mtu mzima,sura si kivile sana ila hilo umbo tafrani na kiuno kama nyigu!
 
Hahahahahaaaa jamani Muuza Sura una kusudi wewe!Naona umeleta jina jingine baada ya lile la SHATI LA LE MUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET!
Nakumbuka ulilileta wewe ndio likasambaa

Husahau wangu we noma au na wewe upo katika campaign za unfollow Davido. .lol
 
I see mimi sikuwa na muda na midume, maana warembo jinsi walivyonyuka pamba za sometime mpaka leo bado nachuwa shingo yangu na Volin maana ilikuwa haitulii afadhari hata ya feni.

Mh!mh!Hizi habari mbaya sana,bora tu Mdakuzi hakuwepo maana hali ingekua si hali!...lol
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaaaa! Sawa bwana naona umeamua kunifanya nipaliwe na kinywaji nachokuywa. Haya asante kwa kuniombea niepukane na wabebez wa akili za usiku.
Ova
 
Mashabiki wenzagu wa ally k for real nimepata taarifa kuwa ally kiba amepata tuzo nchini vietnam...............hebu na nyie fuatilieni basi mje na mrejesho maana naambiwa ronja kuwa ni tuzo ya uvaaji moka bora
 
Na uepukane nao kabisaa....
 
Mashabiki wenzagu wa ally k for real nimepata taarifa kuwa ally kiba amepata tuzo nchini vietnam...............hebu na nyie fuatilieni basi mje na mrejesho maana naambiwa ronja kuwa ni tuzo ya uvaaji moka bora

Wewe naye utakua na tezi dume sio bure! Matola unamuona huyu mtu?
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wenzagu wa ally k for real nimepata taarifa kuwa ally kiba amepata tuzo nchini vietnam...............hebu na nyie fuatilieni basi mje na mrejesho maana naambiwa ronja kuwa ni tuzo ya uvaaji moka bora

ahsante mola kuzaliwa na mr &mrs M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…