Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Hivi humjui kweli au utani?
Naonega masanja anamtweet kule tweeter so ata ckajui ako kajamaa ebu nifunue macho bas khaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi humjui kweli au utani?
Naonega masanja anamtweet kule tweeter so ata ckajui ako kajamaa ebu nifunue macho bas khaaaa
Ni King of All social media & network.
Hee!hao wanyamwezi wana nguvu sana eeh?
Le Mutuz hawezi kosekana pande hizo zenye wabebez wakarez
Nilipishana nae getini nikajua kiosk cha coca cola kimevaa shati kinatembea kucheck vizuri ndo nikagungua ni Le mutuz
Si wanasema mzigo mzito mpe mnyamwezi,sasa kg 100 kidogo hizo!!
Nilipishana nae getini nikajua kiosk cha coca cola kimevaa shati kinatembea kucheck vizuri ndo nikagungua ni Le mutuz
I see mimi sikuwa na muda na midume, maana warembo jinsi walivyonyuka pamba za sometime mpaka leo bado nachuwa shingo yangu na Volin maana ilikuwa haitulii afadhari hata ya feni.
Hahahahahaaaa jamani Muuza Sura una kusudi wewe!Naona umeleta jina jingine baada ya lile la SHATI LA LE MUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET!
Nakumbuka ulilileta wewe ndio likasambaa
Husahau wangu we noma au na wewe upo katika campaign za unfollow Davido. .lol
I see mimi sikuwa na muda na midume, maana warembo jinsi walivyonyuka pamba za sometime mpaka leo bado nachuwa shingo yangu na Volin maana ilikuwa haitulii afadhari hata ya feni.
Hahahahahahaaaa! Sawa bwana naona umeamua kunifanya nipaliwe na kinywaji nachokuywa. Haya asante kwa kuniombea niepukane na wabebez wa akili za usiku.
Ova
Mashabiki wenzagu wa ally k for real nimepata taarifa kuwa ally kiba amepata tuzo nchini vietnam...............hebu na nyie fuatilieni basi mje na mrejesho maana naambiwa ronja kuwa ni tuzo ya uvaaji moka bora
Na uepukane nao kabisaa....
Mashabiki wenzagu wa ally k for real nimepata taarifa kuwa ally kiba amepata tuzo nchini vietnam...............hebu na nyie fuatilieni basi mje na mrejesho maana naambiwa ronja kuwa ni tuzo ya uvaaji moka bora
Watoto wa Mzizima wote tupo hapa bila kulipitisha wowowo lake hapa mtajuwaje kama na yeye ana bundle la 50mb?